kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaweka Rami barabara ya Mlowo kwenda Kamsamba eneo lenye uchumi mzuri

    Ninaamini viongozi wengi mnapita humu Jamii Forums, naamini hata mbunge wa eneo hili la Mbozi anasoma humu. Nimepita barabara hii wiki iliyopita na kufanya utafiti na nikagundua kwamba barabara hii iko busy muda wote, ila haijatendewa haki, na sijasikia mbunge wa eneo hili akiizungumzia...
  2. JamiiForums Tanzania Dili la Nabi Kwenda Kaizer Chief Labuma

  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wakipanda Bus binafsi kwenda shule wanalipa 200; lakini kwenye maonesho ya serikali sabasaba wanalipishwa 1500

    Msimu wa maonesho ya sabasaba umewadia Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda! Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?! Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

    Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaishije bila kwenda kwa mganga wa kienyeji? Una mnatake risk tu mnaumwa na kufa imetoka hiyo?

    Delete this post Nimepost kimakosa
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

    Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
  7. JamiiForums Tanzania Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

    Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo.. Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
  8. JamiiForums Tanzania Basi la kwenda Dodoma

    Habari za wakati huu wadau, poleni na majukumu ya kufuatilia mkataba na maandamano. Kwa yeyote anayefahamu kama kuna usafiri wa kutoka Dar es Salaam to Dom siku za Jumamosi alasiri namaanisha kuanzia saa tisa na kuendelea anijuze plus jina la basi.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini uliondoka nyumbani kwenu kwenda kujipangia na hali ilikuwaje?

    Nilipanga geto lakini sikulala karibu wiki toka nilipie kodi, kipindi nimemaliza form 4 tayari nilikuwaga najua kunyoa maana likizo za nyuma nilikuwa nashinda sana kwa mjomba alikuwa kinyozi basi hata shuleni mimi nilikuwa kinyozi wa shule. nilipomaliza four nikiwa nasubiri form 5 niliweza...
  10. JamiiForums Tanzania Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

    Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa. Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa Rais Ramaphosa wakiwa kwenye ndege ya shirika la SAA wamezuliwa isivyotarajiwa na Mamlaka za Poland...
  11. JamiiForums Tanzania Ufike Wakati Tutamani Kuona Mtu Kutoka Bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar

    MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR "Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za kisiasa tusiivunje Tanzania kwani upande wetu ndiyo umoja wetu" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos, Mbunge...
  12. JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria kwenda Muleba Wanukia

    MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA MULEBA WANUKIA Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanza utekelezaji mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kupeleka Muleba kwa mwaka wa fedha ujao. Hayo yametanabaishwa na Naibu Waziri Wizara ya Maji Mhe. Maryprisca Winfred Mahundi wakati akijibu swali la...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge 30 wa Tanzania kwenda Dubai safari ya kimya kimya si kawaida

    Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko. ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30 DUBAI Jambo la kushangaza ni kuwa kamati ya Bunge wakitembelea miradi ndani ya Tanzania huwa...
  14. JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaohitaji kwenda Dodoma tar 10.6.2023 kushuhudia bunge likipisha Mkataba wa Bandari tukutane hapa !

    Karibuni mikoa yote Tanzania bara. 1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni 2. Kundi na watumishi wa TPA 3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali 3. Kundi la wafanyabiashara 4. Wananchi wote Tanganyika Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

    Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16
  16. JamiiForums Tanzania CAF CL 2023/2023 Yanga anaazimia kwenda kufyeka kichaka pekee cha karanga Simba alichobaki nacho CAF CL

    Kwa sasa Simba amebaki kujificha nyuma ya Wydad, AlAhyl na "wakubwa" wengine kulingana na kamusi yake binafsi Ukimbana kidogo kwenye kanyampasira, utasikia "mpaka mcheze siuji na Wydad, sijui Al Ahyl sijui Raja...." Utafikiri Hawa hawafungiki Sasa Yanga ashaonja damu na hatoacha, Waarabu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wakialikwa Ikulu za Afrika mawazo yao huwa ni kwenda Kula tu na si mengineyo?

    Ina maana Watu wote wanaoalikwa Ikulu huwa ni Waroho, wana Njaa sana na Makwao huwa hawali? Natoa pongezi kwa wale ambao hawajaalikwa Ikulu kwani inaonyesha hawana Njaa, si Masikini, si Washamba wa Vyakula na Vinywaji na ni Watu Matajiri vile vile. Hata Mimi MINOCYCLINE ikitokea nimefanya...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa kijana ambaye hakuwahi kwenda JKT kwa mujibu akitaka kwenda sasa utaratibu ukoje?

    Habari za wakati ndugu zangu waungwana, Naitwa Mbota Matari, nilihitimu kidato cha sita miaka michache nyuma, kwasababu kadhaa kwa wakati huo sikuweza kwenda JKT- kwa mujibu wa Sheria. Kwasasa ninatamani kwenda kupata mafunzo hayo kwani ni muhimu ili niweze kuweka mazingira mazuri ya kozi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni wazo zuri kubadili gari kutoka Toyota Vanguard 2011 kwenda Nissan Extrail Third Generation ya 2016?

    Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016. Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu. Gari zote hizi hapa chini.
  20. JamiiForums Tanzania Karia asiruhusiwe kusafiri na Yanga, ndiye adui namba moja wa Yanga

    Huyu jamaa ni snitch mkubwa na muhujumu na adui namba moja wa Yanga. Nashauri Yanga iachane na maafisa wote kutoka TFF, BMT na wizarani. Wekezeni kwenye watu wa sakolojia benchi la ufundi tu !!! Karia ni adui namba moja wa Yanga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…