kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda alivyoshuka Jukwaani na kwenda kuomba Picha na Chole wa Serengeti Boys

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mama kwenda ziara Urusi ni tumekuwa loosers

    Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza? Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni taratibu gani huwa zinafuatwa ioi mtumishi wa umma ili mtumishi wa umma kwenda kusoma nje ya nchi?

    Kuomba ruhusa kwa muajiri wako. Basi.
  6. JamiiForums Tanzania Yani wamefikia mpaka kwenda kuonga na kutoa lolote ili ya October 29 na yanaendelea waonekane wasafi

    Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje Tanzania wajionee kuwa nchi tulivu Ila kuna chinja chinja inakuja sasa kuzimisha ili kuonesha dunia Tanzania salama. Kila kabira na kila tofauti ya imani yake itabebeshwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

    Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kazi aliyotumwa Msigwa kwenda kuifanya CCM ameifanikisha?

    Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana. Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
  10. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha πŸ˜€πŸ˜€ Wazee wa kupiga bao
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

    OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi? Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
  12. JamiiForums Tanzania Sipendezwi sana na mashambulizi ya matusi kutoka Kwa viongozi wa Chadema kwenda kwa police

    Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo, Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1 Ila viongozi wangu makini wa Chadema, hebu wahurumieni hawa Watanganyika wenzetu police Kuwaita masikini, kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

    Sema miji ya Tanzania hovyo sana Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Nimetembea Kilometa 80 kwenda shule

    Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule πŸ˜‚. Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Safari ya Trump china kwenda kuomba huruma ya vita

    Je unahisi hapa Raisi Jinping anafikiria nini hapa baada ya kutembelewa na Trump
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunalipa nauli mara mbili kutoka Tandika kwenda Pugu, hii sis awa

    Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa kutumia nauli ya shilingi 700, so jumla tunatumia shilingi 1,600 kutoka Tandika kwenda Pugu
  17. JamiiForums Tanzania PATA CAR DIAGNOSIS SCANNER JUA TATIZO LA GARI LAKO KABLA YA KWENDA GARAGE

    πŸš— OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! πŸ”§ Unapata shida kujua tatizo la gari lako? Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi πŸ’― βœ… Inasoma matatizo ya engine (Check Engine) βœ… Rahisi kutumia – Plug & Play βœ… Inafaa kwa magari mengi ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
  19. JamiiForums Tanzania Mbezi Magufuli kuna gari za kwenda Mbweni Gen Isamuhyo?

    Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani.
  20. JamiiForums Tanzania Hongereni wanaume mnaoweza kwenda shopping na wake zenu kisha mkarudi wote kwa furaha mimi yamenishinda

    Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo. Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi. Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…