Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.
Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje ya ofisi kitu ambacho siyo kweli.
Wanaondoka ofisini kwenda kwenye shughuli zao na simu hawapokei kabisaa wala sms hawajibu.
Pia wamekuwa na tabia ya kuangalia upande wenye pesa na krsi zenye maslahi kwao...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
Naona kama taifa letu halina future tena.
Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna walichotusaidia zaidi ya wao kuuza siraha zao na kunufuika wakati wa vita vya Kagera na hata pia...
Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho…
UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza?
Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi...
Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje Tanzania wajionee kuwa nchi tulivu
Ila kuna chinja chinja inakuja sasa kuzimisha ili kuonesha dunia Tanzania salama.
Kila kabira na kila tofauti ya imani yake itabebeshwa...
Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu...
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.
Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana.
Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi?
Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
Anonymous
Thread
baada
halmashauri
kuhama
kutoka
kwenda
moja
mshahara
nyingine
Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo,
Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1
Ila viongozi wangu makini wa Chadema, hebu wahurumieni hawa Watanganyika wenzetu police
Kuwaita masikini, kuwa...
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band...
Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa...
Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa kutumia nauli ya shilingi 700, so jumla tunatumia shilingi 1,600 kutoka Tandika kwenda Pugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.