Kifo cha mpishi wake kilimshtua sana,lakini kabla ya hapo,kitendo cha kuchomwa matako kwa mtu aliyejitokeza kukemea kutukanwa kwake,nacho kilifikirisha sana.
Ndugu Nchimbi ni mwanafunzi aliyeiva wa Mwalimu Julius Nyerere,matendo yake yanataja lipi giza na ipi nuru,aliita koleo ni koleo na...