kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazanzibari ni raia daraja la kwanza katika JMT

    Heshima kwenu, Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT). Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo wamezipitisha katika BLW (Baraza la Wawakilishi) ambalo WaTanganyika hawaruhusiwi kutia mguu. Kupitia BLW...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  3. JamiiForums Tanzania Mfahamu daktari wa kwanza duniani "Hippocrites"

    Jina lake ni Hippocrates. Alizaliwa mwaka 460 AD Ugiriki. Kabla ya huyu mwamba matibabu kwa wanadamu ilikuwa changamoto. Ilikuwa ukiumwa, unatibiwa na waganga wa kienyeji bila utaratibu mzuri. Hawa waganga walikuwa hawana heshima kwa wagonjwa na walisababisha wagonjwa wengi kufa. Ikitokea...
  4. JamiiForums Tanzania Acharya Krishnam asifu hekalu la kwanza la Kihindu la UAE, akimpongeza PM Modi kwa kubeba hadhi ya India ulimwenguni

    Akiendelea kumsifu Waziri Mkuu Narendra Modi kwa kusambaza habari juu ya sifa na hadhi ya India inayokua kimataifa katika pembe za mbali za nchi katika kampeni ya uchaguzi wa Lok Sabha, kiongozi wa zamani wa Congress Acharya Pramod Krishnam alisema ujenzi wa Hekalu la Kihindu la BAPS huko Abu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Leo nimepima HIV kwa mara ya kwanza tokea 2018

    Nimesafiri umbali mrefu sana kwenda angaza kupima HIV na kwa bahati nzuri majibu yamekuja negative. Hii ni hatua muhimu kwenye ya kuwa makini na kujilinda. Asikwambie mtu kusubiri hayo majibu ndani ya hizo dk 5 siyo mchezo.
  6. JamiiForums Tanzania India yafanikisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa juu ya Miundo mbinu ya Umma ya Kidijitali

    Mkutano wa Kimataifa wa Kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu Miundombinu ya Umma ya Kidijitali ulifanyika chini ya uongozi wa India wa kutumia teknolojia kukuza Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs) na kukuza ushirikishwaji, amesema Ruchira Kamboj, Mwakilishi wa Kudumu wa India kwa Umoja wa Mataifa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kengold na Pamba zimepanda ligi kuu, Mbeya kwanza na Biashara kucheza playoff na vibonde wa ligi kuu

    Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao KenGold FC Pamba FC Mbeya Kwanza FC Biashara United FC TMA FC Mbeya City FC...
  8. JamiiForums Tanzania Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  9. JamiiForums Tanzania Hamas waziambia nchi 18 vita visimame kwanza kabla ya chochote

    Nchi kumi na nane zimejaribu kuwalaghai viongozi wa Hamas kwamba waachie mateka wote ilionao. Hata hivyo nchi hizo zimekutana na kigingi kutoka viongozi hao wakisema ili mateka hao waachiliwe ni lazima kwanza vita visimame na Israel iondoke Gaza sambamba na watu kuruhusiwa kurudi majumbani...
  10. JamiiForums Tanzania Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

    Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri...
  11. JamiiForums Tanzania Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA" Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili kuzuia kuachiliwa kwao wakati wa mashambulizi ya ardhini ya Israel huko Rafah. Hamas pia walisema...
  12. JamiiForums Tanzania Kigwangala, kumsifia Rais sio uzalendo wa kwanza, nchi yetu ni Jamuhuri sio Ufalme

    Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Hivi hii kauli na agizo huwa unalichukuliaje na unajisikiaje!? Unapoongea na mtu kwenye simu kisha anakupa hilo agizo.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze. Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇 Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi: 1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi...
  16. JamiiForums Tanzania Barua kwa mpenzi wa kwanza

    Since tumeonana I never thought kama ingekua hivi leo, I was young I know and I knew nothing about love! I never believed love existed, I only saw it in TV shows and movies. You are the one that taught me, wewe ndo ulianza kuonesha affection kwangu, I was afraid coz moyo wangu ulikuwa mbichi na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

    Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea ubunge. Nikajitosa katika mchakato wa ndani ya chama, kuomba ridhaa ya wanachama nipeperushe bendera ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora? 1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Technolojia kwenye faragha

    Ambitious men and womens, hutake full control and outhority over electronic gadgets, mathalani smartphones, tablets, computers etc. Focus, commitments and full concentrations ni kwenye activity ilowakutanisha hapo faragha penyewe. Hii husaidia sana kua na performance ya nguvu na ya uhakika kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa bara la Afrika Tanzania ni super power na mzaliwa wa kwanza kwa haki

    Niko katika kazi ya kuipeleka Tanzania kwenye new season in spiritual point of view leo tutaangalia jinsi gani Tanzania ni super power tuaangalia historical perspective na natura perspective Kipindi cha utawala wa nyerere tuliona Tanzania ikijitoa kusaidia nchi nyingi za Afrika kuondokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…