ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 416
- 1,483
Jina lake ni Hippocrates. Alizaliwa mwaka 460 AD Ugiriki.
Kabla ya huyu mwamba matibabu kwa wanadamu ilikuwa changamoto. Ilikuwa ukiumwa, unatibiwa na waganga wa kienyeji bila utaratibu mzuri.
Hawa waganga walikuwa hawana heshima kwa wagonjwa na walisababisha wagonjwa wengi kufa.
Ikitokea Mgonjwa yuko Mahututi, who walikuwa wanamuacha ajifie tu.
Huyu bwana Hippocrates ndiyo akaanzisha utaratibu na kanuni za Utabibu.
Kutokana na waganga kutowajali wagonjwa, Hippocrates akaamuru kwamba kila mganga anaejihusisha na matibabu lazima aape.
Sio hilo tu, alisema kila MTU anaetaka huduma ya Uganga lazima apate elimu hiyo kwanza.
Kwa kifupi bwana Hippocrates ndiyo baba wa madaktari. Ndiyo maana madaktari baada ya kuhitimu wanakula kiapo kinachoitwa "Hippocrates Oath"