kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ofisi wanabebana kikabila mpaka ofisi inajaa watu wa kabila moja, Kwanini hakuna sheria za kuzuia mirundikano ya watu kikabila ?

    Yaani mpaka ofisini unakosa raha, unajikuta ni outsider (mtu wa nje), mpaka inafikia kipindi ofisini wanaongea kilugha chao, na hujui wanachozungumza. Kwenye ajira wakijua kuna mtu wao watambeba kwa namna yeyote ile labda ashindwe yeye tu lakini wakijua ni mtu wa kabila lingine watamuwekea...
  2. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa chadema kuzuia uchaguzi usipuuzwe

    Niende moja kwa moja kwenye mada mkakati wa chadema kupata sign za watanzania million 15. Unafikirisha kwa sisi tusio wavivu wa kufikiri, Kwa nn wanaitaji izo sign? ,kwa kumnufaisha nani?, kwa lengo lipi? Kwa nini wanaamin katika ajenda yao.? Nikaona niingie deep kufanya research fupi...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania The Defining Moments for CHADEMA: Watanzania wazidi kuikataa CCM na hila zake za kuiua CHADEMA. Maamuzi ya Msajili kuzuia ruzuku yapingwa kila kona

    Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  6. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Tumia Mkaa Kuzuia Chuma Ulete

    Kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kuwa, wanauza pesa nyingi lakini mwisho wa biashara hawaoni kitu. Lawama imetupiwa katika maeneo mengi, lakini eneo mojawapo ni eneo la uchawi wa chuma ulete. Inaaminika kwamba, uchawi wa chuma ulete ni aina ya uchawi ambao mtu huja dukani kwako...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

    Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi . Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu. Acheni utoto !
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wauza nyama Mtwara wanatumia spray za kuua wadudu mabuchani kuzuia nzi, mamlaka ziingilie kati

    Habari wadau hili suala nimelivumilia ila nimeshindwa kulingana na masuala ya afya Wauza mabucha wa Mtwara wakitaka kufunga bucha wanafanya usafi wa kudeki. Kisha wanachukua spray ya kuulia WADUDU kama rungu au hit wanapuliza. Kisha wanafunga. Nasema hili sababu nimeliona kwa macho yangu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia vipele baada ya kunyoa ndevu.

    Habarini Wana-JF, kama kichwa kinavyojieleza. Vipele ni changamoto kubwa.
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Hakuna kikao kilichopitisha suala la kuzuia uchaguzi

    Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli . Umesema kuwa uongozi mpya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kupoka ugombea Uraisi Kwa njia isiyo ya Ki-Demokrasia na Sasa kutumia Vyombo vya Dola kuzuia wapinzani wa Kweli ni Dalili za Ushindi au Kushindwa.

    Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa

    Kundi au watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa sana 1.Wajumbe wa mkutano mkuu 2.Lissu 3.Lema 4.Heche 5.Wanaharakati uchwara 6.Dr Slaa Ndani ya mioyo yao ni kuuwa chama.
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kifaa Cha kuzuia Utekaji

  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa msimamo wa mkutano mkuu wa chadema ni KUZUIA uchaguzi usifanyike, kwa nini Mnyika amekiuka kwa KUSUSIA uchaguzi kwa kutosaini maadili?

    Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani? Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo...
  16. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

    Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea? 1. Je ni amani ya kuiba kura bila...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuzuia Uchaguzi kwa Maandamano siku ya Uchaguzi.

    1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500. 2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000 3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000. 4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000. 5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  20. vnn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sote tunapenda mabadiliko, lakini twende mbele turudu nyuma, Kwa Tanzania Kuzuia uchaguzi Haiwezekani

    Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki! Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea Najaribu kufikiria uchaguzi utazuiwaje? Tutazuia mabox ya kura yasiingie? Tutazuia mtu asipige kura? Tutachana ballot paper...
Back
Top Bottom