Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,937
- 5,532
1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu mwenye umri kalibiana na wa kwako.
4. Chagua mtu mwenye afya nzuri.
5.Chagua mtu anaependelea vile unavyopendelea.
6..Chagua mtu ambaye ataelewa matatizo yako na yake tayari kukusaidia kuyatatua.
NB: Hakunaga kigezo cha ufundi wa kitanda kwenye kuchagua mke/ mme