kuzika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Kwa nini mabosi au Watu wenye hela nyingi hawajengi kwao? Mkienda kuzika mpaka unaona aibu

    Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka. Dar...
  2. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Si tu walichoma na Kuzika Maiti za Walouliwa, Maiti nyingi zimehamishwa Wilaya to Wilaya ,Mkoà to Mkoà ,ili Ndugu wasipate Maiti zao

    LENGO ni lilelile Moja, Ndugu waendelee kubakia NJIA PANDA !.
  3. OLS

    PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  4. R

    GE2025 Video: Coaster zaidi ya 100 kwenda Moshi kuzika wanaodaiwa kuuawa wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao wanaharamu kuzikwa kusikojulikana ili wapoteze ushahidi moyo wangu unavuja damu, vijana wadogo...
  5. R

    Kuzika marehemu kwenye makaburi ni sawa? Asili inasemaje?

    Viumbe vyote hutoka kwenye mavumbi ya ardhi. It is a collection of substances that have been recycled over time. Nataka kuuliza kitu. Kuwazika watu waliokufa kwenye makaburi yaliyojengwa kwa sementi kuna mchango gani kwa asili ambayo ndiyo sisi sote tumetoka huko? Viumbe vyote ,wanyama na...
  6. R

    Viongozi wa chama na serikali,tujifunze kufuata maelekezo na maonyo!Tumechoka kuzika wanachama!!

    TANU na ASP zilikuwepo na Wana intelligence was vyama hivyo walikuwepo baadae CCM 1977 ikazaliwa na Wana intelligence walifanya KAZI yao! KAZI ya intelligence ni kuhakikisha wanakua pro active Kwa mstakabali ujao wa taifa!wao ndio walimshauri kikwete asimamie uandishi wa Rasimu ili baadae owe...
  7. Megalodon

    Jessica Magufuli, vipi kuhusu ambao hatukufanikiwa hata kuona maiti za ndugu zetu?

    Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu. Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi. Israel...
  8. Carlos The Jackal

    Familia ya Neema aliyedai badilishiwa mtoto yakataa kata kata kupokea mwili wa Marehemu kuzika, Yadai yule si mtoto wao

    Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa). Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...
  9. DR HAYA LAND

    Je, zamani watu walipataje taarifa za misiba ya wapendwa wao pasipokuwa na simu , email wala kutumiwa barua?

    Zamani miaka ya nyuma Msiba ulikuwa unatumia Mwezi mzima . Ila jambo ambalo huwa nalitafakari ni kuhusu "the power of connectivity" Yaani kuna wale ndugu zetu walikuwa wakitoka Bukoba na kwenda kutafuta Maisha mikoa mbali mbali na wengine nje ya nchi . Ila ilikuwa ikitokea Msiba ndani ya huo...
  10. Mikopo Consultant

    Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

    Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa. Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili. Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
  11. D

    Wazee wa kuzika wapo standby!

    Cc: Chama Cha Demokrasia
  12. Pdidy

    Maaskofu wakuu wasaidizi jifunzeni kuzika na watu wa kawaida msisubiri matajiri hata wa kawaida anawasubiria

    Ushauri tu Kwenu Maaskofu wakuu Wapendwa wasaidizi wa maaskofu Anzeni vikao vya kuambiana Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii Mnaposikia misiba ya waumini jifunzeni kuhudhuriq msisubiri kusikia tajwa hapo juu ndio tunakuja kuwaonq Flan Kuna baadhi ya...
  13. G

    Hivi watu wanaogombania kuzika maiti, na wazazi wanaogombania kuleta mtoto, wanafaidika na nini?

    Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu? Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama...
  14. Yoda

    Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
  15. Mshana Jr

    Zimwi likujualo halikuli likakwisha: Asili ya binadamu ni kuzika

    Mojawapo ya methali za Kiswaheli ni hii hapa zimwi likujualo halikuli likakwisha.. Ni methali inayopingana kwa namna fulani na ile isemayo kumkoma nyani giladi hii si ya Kiswahili ni ya kabila la Wandengereko watu wa asili ya Pwani yenye maana ya kwamba ukimuua nyani usimuangalie usoni (maana...
  16. Erythrocyte

    Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  17. Suley2019

    Zanzibar: Mama ajifungua na kuzika mtoto wake

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai. Akizungumza katika eneo la tukio ,mkuu wa wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya amelaani tukio hilo na kutaka...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
  19. F

    Misiba ya watu wa Kaskazini hugeuka kuwa bonge la party mara tu baada ya watu kuzika!

    Nimeshuhudia misiba mingi ya watu wa kaskazini mwa nchi hii. Kama safari inaanzia Dar, basi safari hiyo hugeuka kuwa tour kwa baadhi yao hasa wale wasindikizaji wasiokuwa na uhusiano wa moja kwa moja na wafiwa. Utakuta watu wapejipachika na vistarehesha kibao, ndani ya magari kumesheheni vilevi...
  20. MSAGA SUMU

    Mugumu huwa hatuweki chumvi kwenye chakula mpaka tumalize kuzika

    Naaam, Msiba ukitokea katika jamii za watu wa Mugumu, basi hapo msibani watu watakula chakula kisichokuwa na chumvi mpaka siku marehemu atakapohifadhiwa ndio tutarudi kwenye utaratibu wa kawaida. Labda ikitokea mwili ukakaa mochwari miezi miwili, basi tutakula chakula miezi yote miwili bila...
Back
Top Bottom