de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,090
- 21,978
We live in the same existence but share different realities
Wewe ulijuaje dhumuni lako la kuwepo hapa duniani?
Tukachana na dhana za nature eti kuzaliwa, kuzaliana na kufa.. Kuna kitu ndani yako kinacho kufanya uamke kila siku uka hustle ni kina msukimo wa nini haswa?
Na uligunduaje ya kuwa hicho ndo kitu pekee kinacho kufanya ufanye unalo fanya.
Tupac shakur alisha wahi kusema,
"I may not change the world, but I may spark the minds that will do"
Anyways blue Monday hiyoo, wale wa kwenda kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight tuamke.