Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo.
Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.
Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa...
Hali ya kisiasa miaka hii ni ya utata sana, matumizi ya pesa kutoka kwa viongozi ni kufuru, siku hizi tunapewa majiko ya gesi bure bila kuomba, tunapewa matukutuku bure, mabaisikeli bure bila kuomba!
Na maokoto bure japo tunaitwa chawa wakati sisi si wachafu huku wansotubeba ndio wachafu! Yote...
Wanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole...
Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko.
Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
Tuwapongeze akina Gwajima, Heche na wengine kwa kuwaruhusu wasemeseme tu vile wanavyovisema na namna wanavyovisema, maana hayo ndiyo matakwa ya demokrasia za Magharibi. Kama hawavunji sheria yoyote kwa mujibu wa katiba waacheni waithibitishie dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia pana na na uhuru...
Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo.
1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu.
2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia ameridhia Daraja la Kigongo- Busisi liitwe ni Daraja la JPM kama heshima maalumu kwa uasisi na utekelezaji wa wazo hilo.
Kama ni kweli tumemuheshimu hivyo, basi yafaa picha za JPM angalau kila upande ziwepo.
Nimepita leo, nikaona picha picha zingine tuu. Aidha...
Akitembelea eneo la shambulizi la kombora la asubuhi ya leo huko Holon, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo." Anasema kuwa chini ya malengo ya vita ya IDF, "bila shaka mtu huyu hapaswi kuendelea...
Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo.
Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko ilivyo sasa hadi majaji kutoka Dodoma watembelee jambo ambalo linachelewesha haki za wananchi...
Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti
Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
1. Usimdhuru mwanamke kwa njia yoyote ile – hasa kingono.
2. Mwanaume halazimiki kupika vyakula vitamu kila mara, lakini siyo kosa kujifunza.
3. Ni vyema wanaume wawili kutokuwa uchi pamoja – heshimu mipaka ya mwili.
4. Mwanaume wa kweli huogelea kwa maji ya baridi; anaulinda uzalendo wake...
Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha.
Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
Habari wakuu
Hili baraza liliundwa baada ya mashauriano kati ya taasisi za kidini kama BAKWATA, TEC, CCT, CPCT, pamoja na wawakilishi wa dini ya Hindu, Baha’i, na Budha.
Malengo ya IRCPT ni pamoja na
- Kuwezesha viongozi wa dini kushiriki katika utatuzi wa migogoro na kuzuia migogoro kabla...
No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake??
Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa.
UZITAYAri
Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k.
Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
Kumekuwa na tabia inayoendelea kukomaa kwenye jamii na haswa kwa Vijana ambapo huona ni ujanja kutumia maneno ambayo tulishakubaliana kama jamii kuwa ni matusi.Haswa matumizi ya kutaja maumbile ya jinsia ke kiasi kwamba sasa hata Watoto wamejikuta wakizoeshwa kuyasikia kama maneno ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.