kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC01 Nini kifanyike Serikali iweze kupata pesa baada kuachana na hii tozo kandamizi na wapi pa kuwekeza

    Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
  2. Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani

    Kama kichwa cha bandiko hili kinavyojieleza kwamba. "Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani". Ndugu zangu, Naomba nianze kwa kueleza sababu moja inayofanya Gross Domestic Product per capital yetu kuwa ndogo. Gross Domestic...
  3. N

    SoC01 Mapambano dhidi ya COVID-19: Tuwekeze zaidi katika Elimu ya kuzuia Maambukizi

    Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention) Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na hasa ndio msingi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja hususa ni walioko maeneo ya vijijini na...
  4. I

    Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

    Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
  5. B

    Mwanamke anayesumbua kukukubali, huyo siyo mwanake wa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdada akikuzungusha wakati wa ww kumtongoza bhas huyo Mdada hana hisia za kimapenzi na wewe na kakuona wewe ni option yake ya 867 kama uhusiano alionao ukibuma, akikuzungusha mda mrefu hata akija kukubali baadae, atakukubali kwasababu ya pesa zako akuchune hela yako wee, au...
  6. Geita yakubali kuundwa Mkoa wa Chato; Kakonko, Biharamulo na Ngara kumegwa. Sengerema kwenda Geita..

    Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki. Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum...
  7. JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

    Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania. Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na...
  8. Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
  9. Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwekeza kwenye ELIMU BORA NA TEKNOLOJIA (Tatizo la LUKU, Wavaa miwani ya tinted mpo?)

    Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!! Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
  10. Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  11. Vitu muhimu zaidi unapaswa kuvifahamu Digital Marketing

    Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
  12. Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

    Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara Awali Rais Samia alisema...
  13. Kinacholitesa Taifa kwa sasa ni watu kuwekeza kwa mtu na sio kuwekeza kwa Taifa

    Hiki ndicho kinacho litesa sana taifa kwa sasa na itachukua muda kidogo kwa taifa kuondokana na tatizo hili na kuzifuta element hizi. Hii haikuwa legacy nzuri ambayo JPM ameliachia taifa na ndicho kinacho leta shida kwa sasa kwa wananchi hata sasa bungeni. Kuna haja kama taifa kutengeza mfumo...
  14. Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…