KERO PSSSF Halmashauri ya Kishapu wanachelewa kuweka mafao yangu

KERO PSSSF Halmashauri ya Kishapu wanachelewa kuweka mafao yangu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nilikuwa muajiriwa wa Halmashauri ya Kishapu kwa miaka miwili na nusu mpaka nikaacha kazi; ni zaidi ya miezi mitatu sasa imepita lakini mafao yangu ya PSSSF Bado hayajatimia yote Hali inayonifanya nishindwe ku-claim malipo yangu.

Naomba msaada hili liwafikie viongozi tafadhali
 
Back
Top Bottom