kuwa makini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mrsme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake/Wasichana tuwe makini sana

    Habari za leo wana JF, natumaini mko mzima wa afya. Okay, naomba nishare na nyie hiki kitu kwa wanawake na wanaume pia. Hii story nimeisikia jana kwa mtu lakini imenisikitisha na kunihuzunisha sana, sidhani kama kuna mtu atakua kakutana nayo mahali, anyways niko 50/50 na hii story #chai si chai...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa Aragije kuwa makini sana tafadhali, kwani Kesho ukifanya Mzaha unaweza kujikuta unaishia ICU Meru Hospital

    Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa si ile Watu waliyoizoea bali ya Kesho itakuwa kama FC Barcelona au PSG FC kwa itakavyoupiga mwingi...
  4. dubu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ya kuchinja watu kiroho, imekaaje kisheria?

    Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa. 'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi. Kilichonishtua Mwanamama mmoja jasiri...
  6. Memento

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  7. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Epuka mtego wa shetani, kuwa makini sana

    Punda mmoja alikuwa amefungwa kwenye mti. Shetani (Pepo) akaja akaifungua ile kamba. Punda baada ya kujiona yuko huru, akaingia kwenye shamba na kuanza kula kila kitu. Mke wa mwenye Shamba (Mke wa mkulima) akahofia Punda anataharibu kila kitu, hivyo akachukua bunduki, akamuua yule Punda...
  8. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    Kaka Janu shikamoo. Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu. "Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

    Habari wadau..! Hii imewakuta watu ninao wafahamu. Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
  10. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuwa makini sana na watu wanaokuzunguka

    Sina shaka hapo ulipo kuna watu wamekuzunguka kwa maana unahusiana nao kindugu,kiurafiki, ujirani wafanyakazi wenzio pia hata wafanyabiashara wenzako.Katika hao watu wanaokuzunguka wapo wenye mwenendo mzuri na wenye mwenendo mbaya pia. Asilimia kubwa ya mambo tunayoyafanya ni kwa sababu ya watu...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwenye chaka la vyama vingi kumejaa nguchiro wengi, kuwa makini

    Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali aina hii ya siasa kwa shingo upande kwa kulazimishwa. Wakati wazungu wanaileta kwetu aina hii ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

    Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
  13. Ziroseventytwo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dullah Planet kuwa makini, Sepenga anakuharibia show

    Napendaga kuangalia friday night live show inayorushwa na East Africa TV na East Africa Radio na host wa show ni Dullah Planet. Sasa kuna jamaa yake wanakuwaga wote kwenye show. Huyu jamaa nadhani anaitwa Sepenga. Jamaa ni mshamba sana. Kwanza sijui kama ni maarufu. Na kama ni maarufu sijui...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

    Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM. Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM. Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla...
  15. goldcall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa kuwa makini na hawa watu

    Kimemkuta jamaa fulani uko, kafunga ndoa na binti, kumbe binti anamchezo mchafu wa kutoa 0713, kizazi hiki kabla ya ndoa, hakikisha unafanya inspection ya mbele na nyuma, sina maana ushiriki uko nyuma, lakini jilidhishe mtu unaye mchukuwa vipi uko nyuma. Jamaa kaenda round about kwa baati...
  16. the numb 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
Back
Top Bottom