kuwa makini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini kabla ya kutoa idhini kwa Programu Wezeshi kwa aina zote za maelezo inayoomba

    Kuruhusu programu kupata taarifa binafsi kama vile eneo, kamera, na namba za simu "Contacts" inaweza kuwa na madhara, kwani zinaweza kukusanya na kutumia taarifsa zako binafsi bila mtumiaji kujua au kutoa ridhaa. Pia inaweza kuongeza matumizi ya data na kupelekea chaji ya simu kuisha haraka...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapomvalisha mwenzio pete kanisani ama kokote ikadondoka usidharau

    Mkutoka hapo mkafunge mkaombee sio jambo la kawaida nawashauri Na ishahidi wengi yaliyowatokea wamelia kwenye ndoaa nami nataka wewe unaejiandaa kwa ndoa usiogope Ikikutokea hiili nendeni mkakemeee mkaombe tobacco na rehema kuna rohoo mmetupiwaa Msisahauu kutoa sadaka kwa ajili yahayo maombi...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watu hawasamehi. Kuwa makini

    Ni jambo dogo hili ninalokuambia lakini please take care. Watu hawasamehi, hawasahau kwahiyo kama kuna mtu alikutendea ubaya kuwa naye makini, hajasahau. Ipo siku atatamani akutendee tena ubaya uleule au ubaya mwingine. Kuhusu kutokusamehe , yes watu hawasamehi, kama ulimfanyia mtu mafisango...
  4. The25824

    JamiiForums Tanzania Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  6. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini wakati wa kuchagua mke

    Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume.. Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA." Hii na baada ya kutalakiana na mume wake Picha ya pili nin Kim Kardashian, na "$200,000 KWA MWEZI...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

    unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako. Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani. Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
  8. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na vijana wapiga mizinga

    Huko mitaani tunaishi na vijana wa kila namna ila hawa vijana ikiwemo hawa wapiga mizinga ya buku ni hatari sana kwanini nasema ni hatari Unavyotoa buku nakumpa mpiga mzinga sio kwa anashindwa kuipata hiyo pesa mpaka anakuomba ila hii ni njia ya vibaka wanayoitumia kujua kama wewe ni mwepesi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nape na Janu hawatapata hata udiwani mwaka 2025, Mwigulu endelea kuwa makini!

    Dkt. Mwigulu wewe unatakiwa kucheza vizuri tu na watu wako ambao wanasemwa semwa kuwania ubunge jimboni Iramba, usijaribu kumpuuza Prof. Kitila Mkumbo na Gwajima pia. Wapo kadhaa na wengine wameshajitambulisha mpaka level ya kitaifa chamani. Sitawataja hapa lakini jua wapo na ni watu smart kweli...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Katika utafutaji wa rizki kuwa makini na watu, rafiki yangu kafa kikatili sana

    Hello! Rafiki yangu wa kazi, rafiki wa faida. Mimi na yeye sio marafiki kama nilivyoandika hapo juu ila tuko karibu kuliko hata hao mnaowaita marafiki. Hatuongei jambo lolote isipokuwa issue ya fedha tu. Urafiki wetu ulikuwa kwenye mambo ya fedha pekee. Nimeongea naye na kufanya biashara...
  11. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Unapoongea na simu kuwa makini na nyakati hii

    Leo sina mambo mengi kabisa yaan,,ni hivi wakati muhimu kabisa wa kujua siri za mzungumzaji upande wa pili wa simu ni pale mnapomaliza mazungumzo na kukata simu. Yaan mda huo kama utaagana na mtu kwenye simu basi kawia kidogo usikate simu mapema yaan hapo utasikia kitu fulani ambacho...
  12. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu asiye na Mapungufu, tusilaani Viongozi

    Nimeona Viongozi wa awamu mbalimbali nchini,kwenye kada tofauti,kasoro mkoloni.katika medani ya siasa na uongozi maeneo mbalimbali, wengi wao wamepata umaarufu baada ya kuondoka madarakani,walipigwa Kwa maneno magumu ya kuwalalamikiwa na kuwalaani wakiwa madarakani. Kila mtu ni malaika akiwa...
  13. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usipoteze muda na uhudumiwe haraka kwenye ofisi za umma ni muhimu kujua unahudumiwa na mtu wa aina gani

    Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Meza niliyoagiza Meza iliyoletwa
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ibada yafanywa kwa utulivu kwenye msikiti wa Al-Aqsa, baada ya Israel kuwa makini

    Ilizoeleka kila wakifanya ibada huwa wanaingiwa na mzuka fulani hivi wanaliamsha amsha, ila kipindi hiki Israel imekua makini na kuzuia vijana na kuachia akina mama na wazee tu ndio waliingia pale kwa maelfu kufanya ibada zao kwa utulivu....... Yaani mapolisi yalijaa pale na kusubiri mmoja aseme...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mjini Shule kuwa makini

    Bibi mmoja aliyefahamika kama Bi Shida aliingia katika Benki asubuhi moja akiwa na mkoba uliojaa pesa. Alikuwa anataka kufungua akaunti ya akiba na aliomba kuzungumza na meneja wa benki kwa sababu alikuwa na pesa nyingi. Baada ya majadiliano marefu (mwishowe, mteja ndiye mwenye haki)...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza. Naona ndoa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila acha mapepe, watu wakiumizwa utafukuzwa wewe kuwa makini

    Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli. Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia bandari , michezo ya kimataifa Tanzania. Wenzako wanakuacha kama chambo ili yakiaribika wakufukuze...
Back
Top Bottom