kuwa makini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sister Abigail

    Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

    Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa . Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu. Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa...
  2. Sifi Leo

    Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  3. Alloyce PR

    Kuwa makini na unachokisikiliza

  4. Fbn

    Mkesha wa kukaribisha 2026:Kuna watu msipo kuwa makini mnaunganishwa yale ya October 29

    Yaliyotokea October 29 wanashindwa kufanya wajifiche vipi ili dunia wajue kuwa tanzania ni ya amani. Heka heka za mkesha msipo kuwa makini mtajikuta kwenye Tume na kusema imechunguza sana.
  5. Tajiri Tanzanite

    Mama Tibaijuka Mungu anakupenda sana ila kuwa makini

    Hapo vip!! Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako. Nimeota like kama umetengenezewa kesi na watu wasio kupenda na nikesi ya uwongo,ila nikawa nimesikia watu pembeni wakisema kwenye hiyo kesi...
  6. Q

    Kuwa makini na UVCCM, ndio wanaochomesha watu

    UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force. Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa sababu UVCCM ndio wanaowajua viongozi wa upinzani walio mikoani, wengine ni marafiki zao wa karibu...
  7. Mtu Alie Nyikani

    Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
  8. N'yadikwa

    Kuwa makini sana na watu wanaokuomba hela mwisho wa mwezi

    Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja. Utagundua mtu anakutumia DM au WhatsApp baada ya miezi kadhaa bila mawasiliano, mazungumzo yanaanza kwa “bro...
  9. figganigga

    Mikumi kuwa makini usiku huu, kuna lori linawaka moto

    𝗧𝗨𝗡𝗔𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗕𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗬𝗔, 𝗠𝗜𝗞𝗨𝗠𝗜 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗟𝗢𝗥𝗜 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗢𝗧𝗢. 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜
  10. Think2

    Kuwa makini ni hivi vitu usipuuze

    Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia . Unalalamika huzai kila siku mimba zinashuka kumbe nguo yako ya ndani ilichukuliwa na wabaya...
  11. Mto wa mbu

    Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

    Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple. Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University...
  12. Idugunde

    Heche kuwa makini usiharibu mambo.CHADEMA hii sio ya kupokea makapi ya CCM

    Nimesikitika sana kusikia kuwa Heche angewakaribisha waliookatwa CCM kama CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Heche kumbuka CHADEMA hii sio kama ya Mbowe ya kuwa inakaribisha mamluki alafu baada ya uvhaguzi wanarudi CCM Umekosea sana.
  13. ELI COHEN

    Kuwa makini na usijenge aina hii ya fence nyumbani kwako

    Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
  14. M

    Kijana kuwa makini na wanasiasa

    Unaweza kumpigania mtu kwa hali na mali na ukapoteza kila kilichochaki mwisho wa siku unaompigania akakugeuka. Mfano mzuri wabunge wa upinzani jinsi walivyopiganiwa baadae kuunga juhudi
  15. Jack Daniel

    Magereza yapo kwaajili ya binadamu kuwa makini

    Habari jamii Africa Gereza linatisha, Stori zake zinatisha, Matendo ya huko yanaogofya, Lakini ikiwa upo Duniani kaa ukijua muda na saa yoyote unaweza kuangukia huko. Najua wengi tunajitajidi kuishi Kwa ukamilifu ikiwa ni njia ya kujiepusha na makosa mbalimbali,lakini niseme tu kama upo...
  16. GENTAMYCINE

    Ukiona umekoswakoswa, ila ukaumizwa na waliotaka Kukumaliza na bado hawajajulikana ukipona kuwa makini kwani wakirudi Kwako mara nyingine hawakosei

    Ujumbe wangu huu umfikie yoyote yule ambaye ataona ama unamgusa Yeye au Jirani yake au Mtu wake anayempenda na kumuamini Kimaisha, Kisiasa na Kiimani (Kidini) Nawatakieni nyote Jumatano iliyo Njema.
  17. Mhaya

    Wasanii Wanatakiwa Kuwa Makini Na Ulevi Wa Aina Yoyote, Wengi Wao Maanguko Ndio Yanaanziga Hapo

    Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina kubwa sana Tanzania. Mwisho wa siku, watu wakaamua kumpoteza. Walitaka ashuke na kuwa chini kabisa...
  18. kadiri kasimba

    KUWA MAKINI unaposhoboka na wanawake barabarani!

    Salamu wakuu! Twende kwenye mada husika, Hii imetokea kweli, Kuna bi dada mmoja alikuwa anajipitia zake barabarani, ghafla ikapaki gari pembeni mwa barabara, na ndani ya gari alikuwepo mchina(mwanaume) basi akamsemesha bidada Kwa kiswahili chake kibovu, bi dada bila hiyana akampa namba, baada...
  19. ELI COHEN

    Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  20. GENTAMYCINE

    Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
Back
Top Bottom