Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,748
- 5,115
Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia .
Unalalamika huzai kila siku mimba zinashuka kumbe nguo yako ya ndani ilichukuliwa na wabaya wako
Unalalama hufanikiwi kumbe kunawajuzi wamebeba nywele zako au kucha kisha kuzifanyia urozi
Mwisho, Njia nzuri ni kuvichoma moto ilikuepuka hayo