Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?
Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
Hiki chombo kwakweli nadhani ndio chombo ambacho baada ya rais kuwa juu ya sheria basi chombo kinacho fuata ni jeshi la polisi wakifuatiwa na usalama wa taifa lakini kinara wa kuvunja sheria za nchi na kukiuka katiba ya nchi ni jeshi la polisi.
Hiki chombo kikifuatiwa na usalama wa taifa ndio...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:
Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati
Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama!
Itume kwa barua pepe
ethics@fifa.org
Anwani andika:
FIFA Ethics Committee...
Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF.
Mashitaka hayo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora.
Licha ya kauli hiyo pia amehadharisha kwamba yoyote atakayewakosoa ajipange kwakuwa watamhoji kwamba wamevunja...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi.
"Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa
Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria.
Mwaka...
Watu walio enda mahakamani hawakuwa na hatia na wala hawana historia yoyote ya uhalifu wala ugaidi kisheria hawakutakiwa kukamatwa.
Ili tusiingilie uhuru wa mwengine mtu anapaswa kutii amri za polisi zinazo tokana na katiba bila kuvunja sheria na sio kutii mawazo yake binafsi kwa kufanya hivi...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano.
Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano.
Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria.
Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
Wanajamvi salaams
Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara?
Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote.
Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data.
Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.
Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.
Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba.
Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.