Sidhani kama washauri wao wa kiroho wanawaambia ukweli mambo yanazidi kuharibika na kila uchwao ni afadhali ya jana na ya kwamba hii haina comeback!
All we can say in very very painful feelings it will never be the same again!
Hizi dalili mbili zingetosha/zinatoshq kabisa kuwagutua toka...
Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu
mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi
kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna ivujujaji wa jezi vasi waulizwe wengine nasio viongozi wa Simba
swali la 1
Unasema kama kuna uvujaji...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Simba wamesogeza mbele uzinduzi wa jezi zao ni baada ya jezi hizo kuvuja
Ali kamwe amesema kuwa wana shushushu wao huko ukoloni na watatu wamefukuzwa kuhusiana na hiyo inshu ya kuvuja kwa jezi, lakini shushushu wao hajafukuzwa Bado yupo...
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
Nawasalimu waungana wote
Kuna Jambo nilikuwa nataka tujadili kidogo, nimeshalishuhudia zaidi ya mara 5 katika maeneo na mikoa tofauti.
Unakuta Vijana mtaani wote wanajua kuwa demu Fulani na Fulani Wana HIV positive na ukiwauliza Wana kumbia taarifa zote tumezipata kwa dokta Fulani, yaani kila...
Katika nyumba;
1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja?
2. Nini suluhisho lake?
Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.
Angalizo ; huu uzi hauna maana mbaya wala kupangia watu namna ya kutumia pesa zao..!!!
Tanzania tumeingia kipindi ambacho tunaona magari mengi sana ya kifahari, ukiwa barabarani sasa hivi kupishana na gari za 500M or less ni kitu cha kawaida, waTanzania wengi sasa wakipata pesa tumeingia na...
Kama imetokea kutazama moja kati ya video nyingi za utupu ambazo zimekuwa zikisambaa mitandaoni siku za hivi karibuni, hususan zile zinazohusisha chupa za soda, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuwa umetazama binti ambaye ni muhanga wa vitendo vya ulaghai unaofanywa na baadhi ya wahalifu wa...
Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel.
shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.
Habari za jioni wadau....
Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.
Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.
Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo...
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake.
Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
PERU: Waziri Mkuu, Alberto Otárola, (57) amejiuzulu baada ya tuhuma za kuwa alijaribu kutumia Ushawishi wake kumsaidia Mwanamke kupata Mikataba ya Serikali yenye faida baada ya mazungumzo yake na Mwanamke huyo kuvuja
Kulingana na kipindi cha Panorama ambacho kilirusha Mazungumzo hayo, Mwanamke...
Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu.
Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
Hebu jisomee mwenyewe huu utetezi duni.
========
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa vigezo vya kuendelea kuruka.
Baada ya kuandikwa...
Habarini wadau.
Nimemaliza kuezeka ila kwa hizi mvua zikinyesha sana na ikiwa na upepo, kuna dalili ya matone ya mvua /maji naona yanadondoka kwa ndani. Japo mvua ikiwa sio ya upepo hio kitu siioni.
So nataka kuanza kufunga gypsum board nawaza nifanyeje kabla sijaanza hio kazi. Ili kama mvua...
Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini?
Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.