Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi.
Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu.
Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
Wasalaam JF,
Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za kukataa mpango wa Bandari zetu kugawiwa kwa DP World.
Miaka kadhaa nyuma huyu bwana na wenzako...
Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.
Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma...
Wakuu,
Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya...
Anonymous
Thread
business
dar
dar es salaam
information
kuvuja
management
mtihani
school
tarehe
test
Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo yamevujishwa na baadhi ya maofisa wa sekretarieti ya utumishi wa umma kwa kushirikiana na viongozi...
Tanki lililojazwa tani 25 za gesi ya klorini iliyokuwa ikisafirishwa kwenda Djibouti lilidaiwa kuanguka kutoka kwenye winchi na kujigonga kwenye meli ambapo gesi hiyo ilianza kuvuja na kuzua taharuki bandarini hapo
Mamlaka za eneo hilo zilituma wataalamu kuzuia uvujaji zaidi huku wakiamrisha...
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kapinga ndiye ambaye aliyeanza kwa kutoa jibu kuwa mitihani haijafuja tangu mwaka huo, binafsi naona kama kuna kitu hakipo saw ana takwimu zake ndio maana hadi Spika amezungumzia na kuamua kuiweka hoja hiyo pebeni kwa muda
"Suala la uvujaji wa...
Naibu waziri wa elimu akiwa bungeni, amesema suala la kuvuja mitihani halipo na mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008 na ulikuwa mtihani mmoja wa somo la hisabati wa kidato cha nne.
Naibu waziri amesema kutoka mwaka 2008 hakujawahi kutokea kuvuja mitihani bali kinachotokea ni udanganyifu...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa
Nukuu
'Imekuwa kama maradhi, document za Serikali tunazikuta mitandaoni, watu wanabishana huko mtu anaende kuchomoa document...
Wanajf mwaka huu nilifanikiwa kupata kibanda changu cha kuishi, tatizo nilipiga bati mwezi wa 9 mwaka Jana. Leo mvua zinanyesha kwa wingi, ninavujiwa kwenye zile "angles"za miinuko ya mabati Kama mjuavyo uezekaji wa kisasa!
Ushauri wenu nini kifanyike!Msaada wa mawazo tafadhali.
Kwanza niwapongeze wale wote walioamua kuwa uchunguzi ufanywe ili kubaini wizi wa mitihani uliotokea kwa watahiniwa wa utabibu. Naamini hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika kwani imekuwa kawaida yao kufanya kitendo hiki kwa muda mrefu.
Pamoja na hayo yote, naomba kuuliza, je kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.