kuunganisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Namna ya kuunganisha saa Casio Edifece ECB-30 na Simu ili niweze kuset Mda na jiji la nchi niliyopo ili kupata mda sahihi.

    Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
  2. H

    Huu ni wakati wa kuunganisha Watanzania si kuwagawanya

    Taifa letu linapitia kipindi kigumu, kikiwa na changamoto nyingi — nyingine zikiwa hazijawahi kushuhudiwa tangu kupata uhuru. Majeraha haya ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa yanahitaji uponyaji wa pamoja, si maneno ya kutonesha vidonda Ni kweli, kuna hali ya sintofahamu, lawama, na hisia mseto...
  3. Richard

    Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  4. comrade_kipepe

    Hivi Nyerere lengo lake haswa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar lilikuwa nini?

    Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??) Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi...
  5. K

    Vipi wadau hata VPN imezuiwa kuunganisha Tanzania?

    Ninazo vpn mbili tofauti lakini toka jana mtandao uliporudi sijafanikiwa ku connect. wenzangu mnatumia vpn gani kuperuzi Instagram, Whatsup na Tiktok?
  6. R

    ACT sawa yawapate, Chadema ikisema NO REFORMS NO ELECTION mnakuja na TUTALINDA KURA badala ya kuunganisha nguvu za NRNE

    Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa. AU mnacheza mchezo huu na wadau wenu kuhalalisha Samia kutokuwa na mpinzania!
  7. wa stendi

    Je!naweza kuunganisha floot swith 3 kwenye pump moja?

    Yaani nina karo la maji nimechimba chini nimeunganishia gutter zote za nyumba na maji ya kisima chani nimetoboa , na hili karo linajaa maji lita laki 3 Sasa nina ma tank 2 juu nimeweka ya lita efu 5 tano yako kwenye towel yake sasa nataka hapa chini nifunge pump (surfes pum) alafu huku juu...
  8. BigTall

    TANESCO mtakuja lini kuunganisha umeme Chanika Zingiziwa? Mmeweka nyaya kisha mmepotea

    Machi 16, 2025 kuna memba alitusaidia kufikisha ujumbe kwenye Jamii kuwa sisi Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuna changamoto ya kutokuwa na umeme licha ya kwamba TANESCO wamekuwa wakija na kuondoka wakiwa na sababu ambazo hazieleweki. Alichoandika Memba wa kwanza soma hapa - Wakazi wa Chanika...
  9. M

    YAS RUSHA:VIJANA KWA AJILI YA KUUNGANISHA MADUKA NA HUDUMA YA YASRUSHA

    Habarini wakuu.Wanahitajika vijana kwa ajili ya kuunganisha maduka na huduma ya YAS RUSHA Malipo ni kwa Kamisheni Location ni Dar es Salaaam Tuma meseji /piga namba 0718134925 kupata maelekezo zaidi #mixxbyyass
  10. Roving Journalist

    Sagini ameagiza TANESCO na REA kueleza vigezo vinavyotumika kuunganisha umeme kwa Sh 350,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu kwa wananchi wa Sirorisimba juu ya vigezo vilivyotumika mpaka kufikia kutoa huduma kwa shilingi...
  11. Faana

    China yaja na technolojia mpya ya kuunganisha mtandao

    Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea...
  12. R

    Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  13. JanguKamaJangu

    Katavi kuunganisha nguvu kuleta usawa wa kijinsia siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani

    Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana. Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
  14. A

    NINA SHAMBA EKARI 15, LIPO MBEYA- CHIMALA. NATAFUTA MTU WA KUUNGANISHA NAE NGUVU TUFANYE KILIMO CHA ALIZETI.

    Kilimo cha umwagiliaji kinawezekana pia kwakua shambani kuna miti inayotoa maji mwaka mzima. 0625012562
  15. Ojuolegbha

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  16. Roving Journalist

    Judith Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 bungeni...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania kuongeza kasi ya kuunganisha umeme kufikia 72% ifikapo 2030 - Rais Dkt Samia

    Baadhi ya Nukuu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika. “Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati” “Kupitia mpango wetu...
  18. R

    Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  19. Escrowseal1

    Wenje, utetezi wako kwenye interview na Prince Aloys Nyanda unatufanya wadadisi tuunganishe dots

    Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara kutambulishana unagundua ni Abdul mtoto wa Raisi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Hee na namba...
  20. Jaji Mfawidhi

    Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

    Leo 𝘯𝘪𝘮𝘦𝘦𝘯𝘥𝘢 𝘤𝘩𝘰𝘰𝘯𝘪 𝘳𝘢𝘧𝘪𝘬𝘪 𝘺𝘢𝘯𝘨𝘶 𝘢𝘬𝘢𝘯𝘪𝘵𝘶𝘮𝘪𝘢 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘺𝘢 𝘹𝘹𝘹 𝘕𝘪𝘬𝘢 � 𝘱𝘭𝘢𝘺 𝘯𝘢𝘰𝘯𝘢 𝘏𝘢𝘪𝘯𝘢 𝘴𝘢𝘶𝘵i 𝘪𝘬𝘢𝘯i𝘣𝘪𝘥𝘪 𝘯𝘪𝘰𝘯𝘨𝘦𝘻𝘦 𝘴𝘢𝘶𝘵i 𝘏𝘢𝘥𝘪 100 𝘭a𝘬i𝘯i 𝘣𝘢𝘥𝘰 𝘏𝘢𝘪𝘯𝘢 𝘴𝘢𝘶𝘵𝘪.., 𝘯𝘥i𝘰 𝘯𝘪𝘬𝘢𝘬𝘶𝘮𝘣𝘶𝘬𝘢 𝘬𝘪𝘱𝘪𝘯𝘥𝘪 𝘯𝘢𝘵𝘰𝘬𝘢 𝘴𝘦𝘣𝘶𝘭𝘦𝘯𝘪 𝘯𝘪𝘭𝘪𝘬𝘶𝘸𝘢 𝘯𝘪𝘮𝘦𝘶𝘯𝘨𝘢𝘯𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘣𝘭𝘰𝘰𝘵𝘰𝘵𝘩 𝘯𝘢 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘯𝘨𝘶.. 𝘩𝘢𝘭𝘢𝘧𝘶 𝘴𝘦𝘣𝘶𝘭𝘦𝘯𝘪 𝘬𝘶𝘭𝘪𝘬𝘶𝘸a 𝘒𝘶𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘨𝘦𝘯𝘪 𝘩𝘪𝘷𝘰 𝘴𝘪𝘫𝘢𝘳𝘶𝘥i 𝘯𝘺𝘶𝘮𝘣𝘢𝘯i...
Back
Top Bottom