Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar.
Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
MBUNGE CONDESTER SICHALWE: WATU WASIO WAAMINIFU, WALIOAMINIWA WANAJIFICHA KWENYE DHAMANA WALIZOPEWA KUUMIZA WATANZANIA WENZAO
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyofanya kazi vizuri. Anapambana na kuhakikisha hata Wabunge tunaotojea Majimbo ya Vijijini tunapata fedha kwenye...
Kuna wakati tunasema tuna deep state, kuna wakati tunasema tunategemea Mungu na kuna wakati tunasema tunatengeneza kizazi za watu waadilifu.
Tumeona janga kubwa lililopo sasa kwamba nchi nzima vijana wenye nguvu ni wale waliotuhumiwa kutumia madaraka vibaya, waliojitolea kuwa chawa na watoto wa...
Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!
Naomba watanzania...
Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda.
Kosa hilo alipata kulifanya mfu mmoja na majibu yake ni bayana ndiyo yaliyo sababisha yaliyomo.
Hivi...
LANGO LA MOTONI
CHAPTER 1
Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022
Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja na nyewe zake zilizoonesha kutimka kama vile alikuwa akikimbizwa na kitu au yupo katika dimbwi la...
Kila Chama akifanya vitu vyake nchi nzima inatabasamu kwa tumbuizo, lakini kikundi kidogo cha 'haters' wanaumia.
Wewe unayeumia unampunguzia nini Chama? Tazama umeumia miaka yote hii ndiyo kwaanza Chama anazidi kutoa burudani!
Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha...
Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika...
Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19"
Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
Mkitaka serikali yetu ipate mapato kama mnavyotaka badala ya kuleta kodi za kuumiza watanzania fanyeni yafuatayo
1. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa kwa wafanya biashara, Bandarini, Kwenye manunuzi ya umeme, maji, usafiri wa reli, kwenye Masoko, n.k
2. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.