kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2024 Land Cruiser LC300 ZX a.k.a Bajeti Kuu iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾 TSH 360M Call📞+255 747 999 927 LAND CRUISER LC300 ZX Year: 2024 Engine: 3.5L Mileage: 13,742Km Fuel Used: PETROL Transmission: AUTOMATIC ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost ✨Adaptive Suspension ✨Twin-Turbo V6 Engine ✨Advanced Four Wheels Drive
  2. JamiiForums Tanzania Tengeneza Mwili Imara: Faida Kuu. za Collagen Kwenye Ngozi, Viungo na Nywele Zako.

    Sababu Kuu za Kutumia Collagen Kila Siku Kurudisha Ustahimilivu wa Ngozi: Collagen hufanya kazi kama "gundi" inayoshikilia ngozi. Inasaidia kupunguza mikunjo, kuzuia ngozi kulegea, na kuifanya ionekane nyororo, yenye unyevu na ya ujana zaidi. Kuimarisha Viungo na Mifupa: Inasaidia kulinda na...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kwa bajeti ya laki 7 naweza pata gari gani hata kama kuu kuu

    Naombeni mawazo nataka kumiliki ndinga nina laki 7.
  4. JamiiForums Tanzania Changamoto kuu uwanjani

    Raha za pwani zinapokolea Hakuna dari na hawajafungulia mziki kumeza sauti..!
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa Vifaa kwa Wapima ARDHI (land surveyors) ni sababu Kuu ya kuwa na gharama kubwa katika Upimaji Ardhi

    Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha anasoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo Juni 11, 2026

    Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa...
  8. JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Mwenye macho haambiwi tazama. Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa nchini. Ukweli mchungu ambao wafuasi wa Mzee Nyerere hawapendi kuukubali ni kwamba mambo haya yana...
  9. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda alivyoshuka Jukwaani na kwenda kuomba Picha na Chole wa Serengeti Boys

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal
  11. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nilishirikishwa ufisadi na "mamlaka kuu" nikakataa, naogopa laana za Watanzania

    Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
  12. JamiiForums Tanzania Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini pwani ya afrika mashariki ni ngome kuu ya vijana wa kiume wenye hurka za kishoga?

    Lamu Mombasa Znz Tanga Dsm Inasikitisha sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM tulichepuka, tunataka Kurudi Njia Kuu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania. Ameyasema haya mkoani Kigoma...
  15. JamiiForums Tanzania Mechi kali ligi kuu India kati ya wahindu na waislamu siyo ya kukosa

    Mechi kati ya timu za mpira kwenye ligi kuu India Mohammedan SC vs Mumbai city FC. Ni mechi kali kwenye ligi kuu India inayowakutanisha Kobaz (Mohammedan SC) na wahindu (Mumbai City) Unaambiwa kobaz wa mohammedan SC wabishi wanacheza rafu za hatarii nakupiga ngwara balaa. Waamuzi watakuwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kero soko kuu la vitunguu la kimataifa singida

    1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake 2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
  17. JamiiForums Tanzania Uharibifu Miundombinu Wasababisha Hasara Kuu Kiuchumi

    Uchumi wa maeneo mengi ulidorora pakubwa. Biashara zilifungwa, mapato yalipungua na ajira nyingi zilipotea. Tume ilibaini kuwa uharibifu wa miundombinu ulisababisha hasara kubwa ya kiuchumi kwa taifa kwa ujumla. #AmaniNaUwajibikaji #TumeYaUchunguziReport Sauti Ya Wananchi
  18. JamiiForums Tanzania Tumia silaha kuu nne

    TUMIA SILAHA KUU 4 TUMIA SILAHA KUU 4 Silaha ya kwanza 1)usitende dhambi jitahidi usitende dhambi na tubu dhambi zako mara kwa mara,samehe watu waliokukosea,usilale na hasira usikasirike,usiogope woga usiwe na hofu wala woga,uwe na imani kuu amini Yesu anaweza yote,na wewe unayaweza yote...
  19. JamiiForums Tanzania Full Time: KMC 0-1 Yanga, Mei 6, 2026, Ligi Kuu Bara

    Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara. KMC imeendelea kuwa na hali mbaya kwa kuwa imebaki mkiani kwenye msimamo ikishika nafasi ya 16, ina pointi 9 katika mechi 21
  20. JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Ndani ya Ligi Kuu Bara kuna Wachezaji wanalipwa Laki 2 wengine wanalipwa Milioni 50

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu. Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…