kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polisi: Madeleka tunamshikilia kwa kudharau amri ya mahakama Kuu

    Madeleka ana bahati sana hajapotezwa. Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia. ==== TAARIFA KWA UMMA POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
  2. JamiiForums Tanzania Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Senate yakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama kuu kuhusu Gachagua

    Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani. Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tuleteeni yanayojili mahakama kuu - Kesi ya TAL

    Wana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
  7. JamiiForums Tanzania Makamanda msiwe na wasisi Tunaenda kumwaga mboga siku ya Baraza kuu la. Chama September 15

    Makamanda Peoples!!!!! Wale wote wanaochukizwa na Ufisadi ndani ya CHADEMA msife moyo sasa agenda yetu itaingia kinguvu siku ya Baraza Kuu la Chama kwa sasa tutulie hiyo 334Milion itimie tukisha safiri kwa umojq wetu tutapenyeza agenda ya ufisadi wa makamo mwenyekiti wetu. Baraza Kuu la Umma...
  8. JamiiForums Tanzania Samia Aongoza Kamati Kuu ya CCM Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mapema leo mjini Zanzibar.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar, Julai 2, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
  10. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  11. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hatua kuu saba za CCM, kuzaliwa hadi leo

    1)Chama Cha ukombozi TANU +ASP=CCM Sera- Ukombozi,kupambana na Njaa ,maradhi,ujinga na umasikini ujamaa na kujitegemea. viongozi -Wafia NCHI. Wachache- Nyerere,Karume,Kawawa Aboud Jumbe, Sheik Thabit Kombo n.k 2)CCM Halisi Sera - Ujamaa na kujitegemea,kuinua maisha ya wakulima na...
  13. JamiiForums Tanzania Video :Barabara Kuu ya Tanzam Dar-Mbeya-Tunduma Ilipaswa kuwa Hivi.

    My Take Sina hakika kama Tanzania tunajenga Barabara Kwa viwango vizuri kama hivi 👇
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanakawaida ya kumsema Marehemu, Lengo letu kuu ni Katiba

    Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa. Tusikubali ulaghai unaopikwa
  15. L

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa vita kubwa mbili,Urusi v Ukraine na Iran v USA pamoja na Israel,ni Wazi Sasa tuko kwenye vita kuu ya tatu ya Dunia

    Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia. Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine. Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na Israel. Vita hizi mbili zimeigawa Dunia mara mbili yaani Urusi inapigana na Ukraine,ambapo Ukraine...
  16. JamiiForums Tanzania Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akamtembelea Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA taifa kabla ya mkutano wa baraza kuu taifa, September 15

    Duru zinaeleze kua kwasasa mwenyekiti huyo mstaafu ana ratiba ngumu binafsi ya ng'ambo ya nchi, na mara atakapo kua mazingira ya nyumbani, basi ziara hiyo maalumu ya makamu mwenyekiti wa chadema taifa itafanyika kadiri ilivyopangwa. Je, ikiwa atafanya hivyo, unadhani agenda kuu ya makamu...
  17. JamiiForums Tanzania Hatma ya nafasi ya Makamu Mwenyekiti fisadi wa CHADEMA Taifa kuamuliwa na mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026.

    Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya kukiuka katiba na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi kwa manufaa yake binafsi na familia yake...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maombi yangu kwa uongozi wa CHADEMA: ikiwezekana mkutano wa 'Baraza la Wananchi' Mbpwe asihudhurie

    Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
  19. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete atoa tamko kuu kwa TCRA kuifungia BBC swahili

    Ikiwa ni siku chache tangu chombo cha habari cha kimataifa cha BBC News kuchapisha makala iliyomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, zimeendelea kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa kauli ya kutaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…