Tetesi: Baraza kuu la chadema taifa kufanyika APRILI.2027

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
49,946
Reaction score
40,349
Za ndani kabisa zinadai,
ukata wa fedha, kukosekana agenda muhimu na mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi vinatajwa kama sababu za kusogezwa mbele kwa mkutano mkuu huo hadi mwaka ujao.
Hii ni kimaanisha zile pesa za tone tone zilizochangwa zimetumika kwa matumizi mengine kadiri ilivyoonekana inafaa.

Mkutano mkuu wa baraza kuu mwingine, umependekezwa kufanyika mwezi wa Aprili 2027. Hata hivyo itategemea upatikanaji wa fedha za kugharamia mkutano huo mkuu muhimu.

Haijafahamika wazi kama chadema itakuwepo au itakua tayari imefutwa kwa mujibu wa sheria za nchi kutokana na kuhusishwa kwake na matukio mbalimbali yanayokiuka sheria za vyama vya siasa nchini.🐒

Mungu ibariki Tanzania.
 
Unahangaika sana na mambo ya CHADEMA. Waziri wenu mkuu yuko bize na kucheza cinema za nono huku akitetemeka miguu.

Post yako haituondoi kwenye agenda ya new born star 🌟 in town
 
ok.
relax bas gentleman na itapendeza zaidi, hakuna haja ya makasiriko hasa matarajio yenye ukweli ndani yake yanapowekwa hadharani.

muulize j.j.mnyika kuhusu hili na uje kuwaeleza wadau wa Jf ikiwa mimi ninahangaika na chadema na nilichoeleza sio ukweli. Sawa? Just ask mnyika 🐒
 
Za ndani kabisa zinadai,
ukata wa fedha, kukosekana agenda muhimu na mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi vinatajwa kama sababu za kusogezwa mbele kwa mkutano mkuu huo hadi mwaka ujao.
Hii ni kimaanisha zile pesa za tone tone zilizochangwa zimetumika kwa matumizi mengine kadiri ilivyoonekana inafaa.

Mkutano mkuu wa baraza kuu mwingine, umependekezwa kufanyika mwezi wa Aprili 2027. Hata hivyo itategemea upatikanaji wa fedha za kugharamia mkutano huo mkuu muhimu.

Haijafahamika wazi kama chadema itakuwepo au itakua tayari imefutwa kwa mujibu wa sheria za nchi kutokana na kuhusishwa kwake na matukio mbalimbali yanayokiuka sheria za vyama vya siasa nchini.🐒

Mungu ibariki Tanzania.
sawa Tlaatlaah msemaji mkuu msaidizi wa CDM, unayemsaidia mrembo wa CDM Brenda Rupia
 
jikite tu moja kwa moja kwenye tetesi bila makasiriko na itapendeza zaidi gentleman

pesa kwaajili ya baraza kuu hakuna, then baraza kuu halitafanyika tena mwaka huu 2026, hadi mwaka ujao, halafu ww unanikasirikia mimi, dah!

hii ni maajabu aise 🐒
 
Back
Top Bottom