Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,178
- 1,493
Wakuu habari za jumapili natumaini mko powa
Kwa sasa nataka nichukue radio sina sana mawe yakutosha nilitaka nichukue hii radio ya kodtek kt 2319 au seapiano zile old model au hisense hi fi radio maana atleast kuna muziki
Tupeane kuna spiki nzuri zaidi ya hizi tukiachana na anker,sony,jbl ,samsug,pionerr