kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Habari wana JF, Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa matumizi yasiyo na mpango, unasemwa una roho ngumu. Lakini swali langu ni moja tu: Kama unaona mimi ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

    N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio. Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

    Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa. Katika ugawaji huu wa Maeneo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

    Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa. Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa. Ni hivi, nimesoma...
  5. JamiiForums Tanzania Mameneja na Waratibu wa Mradi wa TACTIC watakiwa kutumia magari 14 katika kazi iliyokusudiwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Mameneja na waratibu wa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) kuhakikisha magari 14 aliyoyakabidhi yanakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa ya usimamizi wa mradi huo ili wananchi wanufaike na...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu Kwanini ni lazima kutumia Fully Synthetic Oil

    Kuna ambao wanaweza kujiuliza tofauti ni ipi Kati ya Conventional Oil na Fully Synthetic Oil? Kabla ya kukuelezea sababu kwanini unapaswa kutumia Fully Synthetic Oil kwenye engine ya gari lako , na faida zipi utazoweza kuzipata kwakutumia aina hiyo ya oil. Tungependa kwanza tukufahamishe...
  7. JamiiForums Tanzania TRC yaanza rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia container carriers SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi. Akizungumza wakati wa kuanza safari...
  8. JamiiForums Tanzania Responded Selcom: Unaweza kuweka salio kwenye N-CARD yako kwa kutumia Selcom Pesa

    Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi umetolewa na Selcom. Kama hukusoma andiko la Mdau bofya hapa ~ Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha...
  9. JamiiForums Tanzania MWONGOZO JINSI YA KUTUMIA NA KUPATA CANVA (Ufafanuzi rahisi kabisa kwa kila mtu hata kama hujawahi kufanya design)

    Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.” Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja. Lakini leo hali imebadilika...
  10. JamiiForums Tanzania Mmeshajua hamkubaliki na wanachi hawawataki kuwa madarakani. Kumtesa Lissu kwa kutumia Mahakama ni kutwanga maji kwenye kinu

    Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki. Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi hawamkubali mama? Nikamwbia mimi sio kada wa CCM na haijawahi kutokea nikawa kada CCM. Hoja kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wapendano wanahimizwa Kutumia Kondom siku ya Valentines.

    Lovers have been ecouraged to engage in safe sex during Valentines day Celebrations by using Condoms consistently to avoid STIs, unwanted pregnacies and even HIV/AIDS. This comes at a critical time as the world is going yo celebrate World Condom day om February 13,2026. Dr Charles Olaro from...
  12. JamiiForums Tanzania Responded Wizara ya Ujenzi: Wanaosafirisha mizigo mikubwa waache kutumia vishoka kuomba vibali, wanakwamisha kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya Ujenzi imetoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ya Mdau ~ Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji...
  13. JamiiForums Tanzania Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

    Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe. Nani walihusika? Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza...
  14. JamiiForums Tanzania Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  15. JamiiForums Tanzania Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  16. JamiiForums Tanzania Njoo tushare namna ya kutumia silencio voice AI kupata kipato

    Hii app inalipa kama ukifanya kazi zao kwa saa wanalipa 10usdc kujibu maswali yao kwa saa moja tu , kama kuna yeyote anafanya kazi hii naomba tushare mawazo NB; hii kazi lazima ujue kiingereza walau basic english
  17. JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
  18. JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania kutumia takribani Sh. Bilioni 2.7 kukodi Kampuni ya Marekani ili ‘Kurekebisha Taswira ya Nchi’ baada ya Mgogoro wa Uchaguzi

    Januari 16, 2026 WASHINGTON, D.C. — Ikikabiliwa na uangalizi wa kimataifa kufuatia matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa 2025 ulioharibu sifa yake, Serikali ya Rais Samia imezindua operesheni kabambe ya kujenga ushawishi nchini Marekani. Tanzania imekodi kampuni inayoongozwa na Mbunge...
  20. JamiiForums Tanzania Ona unafiki wa hawa Maayatollah na wizi wao kwa kutumia dini

    Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii kama siyo israfu na shirk ni nini jamani? Hicho ndicho kitovu cha jengo lote hilo. Waislam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…