kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubunifu wa kutumia kamba za katani

  2. Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  3. Ubunifu wa kutumia tairi chakavu za gari

  4. R

    Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  5. Kinachowazuia wanasiasa wetu kutumia JF kutupasha habari ni kitu gani?

    Barangumu limelia.. Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa" Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
  6. Leo naacha Rasmi kutumia mtandao wa HALOTEL

    1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali. 2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu...
  7. Ubunifu wa kutumia mawe laini

    Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
  8. U

    Je kiimani ni sahihi kwa muislamu kutumia au kutamka Yahweh Subhana badala ya Allah Subhana akikusudia maana ileile kuwa Mungu ni mkamilifu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Usiku mwema
  9. Ubunifu kwa kutumia mianzi

    Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia Special dedication kwa Malchiah na wengine wote wapendao ubunifu na asili
  10. Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  11. K

    Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  12. THBUB kuendelea kutumia njia mbalimbalimkuifikia Jamiii

    Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora ili wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Hayo alisema Januari 23, 2025 wakati akitoa elimu...
  13. R

    Ongeza salio kwenye simu kwa kutumia kamera ya simu yako

    Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
  14. M

    Kutengeneza system kutumia wordpress

    Wataalamu,nilikuwa nauliza inawezekana kutengeneza mfumo kwa kutumia WordPress kwa ajili ya kuplace order! Unahizi functionalities! • Wafanyakazi wa ofisi wanaweza kuweka maombi(order placing) ya vitu vinavyotakiwa kununuliwa mtandaoni. • Mtu wa manunuzi (procurement) anaweza...
  15. Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  16. Usafi wa Choo: Umuhimu wa Kutumia Disinfectant kwa usafi wa choo chako na Madhara ya Kutoitumia

    Choo ni moja ya sehemu muhimu zaidi katika nyumba inayohitaji kusafishwa mara kwa mara. Usafi wa choo unahusisha kuondoa uchafu na vijidudu vinavyoweza kusababisha magonjwa. Kwa kufanya hivyo, tunaweza kudumisha afya njema na mazingira ya kupendeza nyumbani. Umuhimu wa Kutumia Disinfectant...
  17. Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  18. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  19. Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  20. Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…