kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Peer Pressure: Uliwezaje kuachana na marafiki waliokuzunguka walevi ama kuishi nao bila kutumia vilevi

    Vilevi nikimaanisha pombe, bangi, sigara, nk Mfano unakuta mpo out, mnapiga story au mpo nyumbani Wao wanakunywa na kuvuta
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Suluhisho la Maji ya Chumvi kwa Kutumia Teknolojia ya Reverse Osmosis.

    Habari wanajukwaa, Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala kufulia). Kutokana na hali hiyo, nimekuwa na wazo la kuanzisha huduma ya kusafisha maji kwa kutumia...
  3. JamiiForums Tanzania Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

    Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!! Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!! Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!! Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

    Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano. Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine. Korti ya karne AI ikatae kuficha...
  6. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya vitendo kwa kutumia Mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) uliounganishwa na teknolojia

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma ikitolewa. Midoli hii ambayo inatumika kwa mafunzo kwa vitendo (Skills Lab) katika Chuo Kikuu cha...
  7. JamiiForums Tanzania Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    - vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!! 2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  9. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba hatujitaji kutumia nguvu nyongi kwenye huu usajili,tuna kikosi bora cha kwanza kutupeleka fainali Club Bingwa

    "Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  11. JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) yatoa rai wazabuni kutumia moduli kuwasilisha rufaa

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko katika mfumo wa NeST ili kuokoa muda na gharama zisizo na ulazima. Rai hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando alipoongea na waandishi wa Habari katika...
  14. JamiiForums Tanzania Gwajima amekosa hoja,sasa ameamua kutumia wafuasi wake kama ngao ili awapambanishe na vyombo vya dola, polisi simameni imara

    Friends and Our Enemies, Gwajima baada ya kushindwa na kukosa mashiko ya kisheria kufuatia kufutwa kwa kanisa lake kwa kile kinachodaiwa ni kukiuka taratibu na masharti ya uendeshaji wake sasa amemua rasmi kuzua vurugu na tafrani. Zipo taarifa za uhakika kuwa amepanga kila juma pili kukusanya...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wanajua kutumia fursa ukifika afrikana kama unashuka juliana kutana na pacome liquer, pacome design

    Mji mtamu huuuu Nasema kama sio pacomw of Basi mhusika congs nimependa sana kuina hilii Ukifika afrikana shuka ukienda juliana club Unakuta kushoto duka la vinywaji la Pacome Na mambo ya design.... B blsd mmiliki
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Followers na Kutengeneza TZS 2,000,000+ Kwa Mwezi Kwa Kutumia Simu Yako Tu

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, social proof ni kila kitu. Watu wanataka kuonekana wanafuatiliwa, na biashara nyingi zinahitaji followers ili kuwashawishi wateja wao. Hii ndiyo sababu kuu iliyoifanya biashara ya kuuza social media followers kuwa fursa halali, rahisi, na yenye faida kubwa —...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya kigeni hasa ya Kiarabu na ya Kiingereza, huku zikiyapuuza majina yao ya asili. Wapo wanaoona kuwa kutumia...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kuazima "kijinga cha moto" au "mkaa unaowaka" kwa nia ya kutumia kwenye ulozi au ushirikina

    🔥 Kijinga cha moto katika ushirikina huweza kuwa: 1. Kifaa cha kupeleka ujumbe wa kipepo – yaani, moto huo ukatumika kuteketeza au "kuwasha" madhabahu ya giza. 2. Njia ya kuingiza uchawi au uchafu kiroho kwenye nyumba ya mtu – kwa sababu mkaa huo una uhusiano wa moja kwa moja na chanzo (yaani...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kutumia mafuta ya kupikia chakula yaliyoganda

    Je kwa mtu asiye fanya mazoezi kwa umri kuanzia 20+ mpaka 69 kuna madhara yapi yatatokea kwa kutumia mafuta yanayoganda? Wenye uzoefu karibuni kwa michango naambatanisha na picha moja
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

    Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…