Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
Habari zenu Wana Jukwaa na Uongozi wa JamiiForums, Tech Team
Mimi ni mmoja wa wadau na watumiaji wa muda mrefu wa jukwaa hili. Lengo la kuleta uzi huu ni kutoa ombi rasmi na rejesho (feedback) kuhusu mabadiliko ya hivi karibuni kwenye mfumo wa App ya JamiiForums.
Kwa siku chache zilizopita...
Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda
Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini
Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi.
Je video hii ina uhalisia?
Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini.
Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome.
Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu.
Maxence Melo fanya kanamna basi!
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha...
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO.
Pandex(+255 743 549 126)
Pandex Herbal Clinic
Dar es salaam
ILALA BOMA.
PANGANI & UTETE STREET
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya.
Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)":
Modes &...
Kuna mjadala mpya unaoibuka kwenye soka la Tanzania baada ya klabu ya Yanga kutumia kwa nguvu zaidi jina “Yanga Day” katika tamasha lake la mwaka 2026.
Kwa miaka kadhaa, tamasha hilo limekuwa likitambulika zaidi kama Siku ya Mwananchi au Wiki ya Mwananchi, majina yaliyokuwa sehemu ya...
Kitu pekee Samia anapambana na ccm kwa ujumla ni kutaka uongo uwe officialized na uwe documented.
Na unajua madhara ya kua documented?
Madhara yake ni kua hizo taarfa ndio zitakua Rasmi kwa vizazi na vizazi na zitakutumika kama reference.
leo hii Dunian taratibu inaanza kutumia Data za watu...
Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao.
Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya;
1. Je...
Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao.
Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
Kwenda kazini: 13 km
Mizunguko : 12 km
Kurudi nyumbani: 13 km
Jumla ni takribani 38 km kwa siku.
Gari langu linatumia wastani wa lita 1 kwa km 9 hadi 10, hivyo kwa siku natumia takribani elfu 15 hadi 16
Kwa mwaka hata nikipumzika jumapili, matumizi ya mafuta yanakaribia milioni 5.
Baada ya...
18 Julai 2026
Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia.
Kwa kutumia Grok Imagine...
Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani.
Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu.
Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
==...