Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
Habarini?
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo.
Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?
Kufikia Machi 2025...
Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
Wakuu habari,
Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida.
Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani.
Kwa sasa...
Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu
Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti
Kwanini Lissu...
Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri.
Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu.
1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
Maisha yanabadilika kila kukicha na biashara ra mitandao zinabadilika pia, hii ni kutokana na watu kutafuta kilichobora zaidi. Kwa siku za hivi karibuni watu wamegundua kua kuunga bando kila siku kwaajili ya kuingia mtandaoni inakua haisaidii kama ambavyo ingemsaidia mtu mwenye wifi au fiber...
Habari wadau.
Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata taka mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali(recycling)
Ninaomba kwa mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu wazo hili anisaidie orodha ya baadhi ya bidhaa zinazoweza kuzalishwa kutokana na taka(recycling)kwa gharama ndogo...
Taarifa imetolewa na Citizen tv hivi punde
Ahsanteni sana
===
Waufukweni said:
Mwanaharakati maarufu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ambaye alikuwa akishikiliwa nchini Tanzania, ameripotiwa kusafirishwa kwa njia ya barabara na kutelekezwa katika mji wa Ukunda, uliopo pwani ya Kenya.
Taarifa...
Baada ya siku mbili tu za majibu ya Pakistan kupitia opereshi Marsoos tulimsikia Mark Rubio wa Marekani akisema wamepata intelijensia na wakatumia usiku mzima kuzungumza na waziri mkuu wa India,Modi ili kufikia suluhu ya kusitisha vita haraka.Tukawa tunajiuliza ni habari gani hizo za siri...
Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya:
"CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi".
Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii...
1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema
2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma
3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana!
CONCLUSION;
matukio yote ya kupotea kwa watu...
Wazee wa vita takatifu dhidi ya marekani na israel na blah blah nyingi ili waonekane civilized ila kiuhalisia wao ni matapeli, makatili na wauaji.
Unaendaje kusaidia mtoto wa malaya unaetembea nae wakati wa kwako wa kuzaa anaumwa na hajapata pesa ya kutibiwa.
AKILI UOZO.
Nilikua natuma picha zangu kawaida tu, na zinaonesha kabisa mimi ni mwanaume ila kilichonitokea ikabidi nifute account, pia nikajifunza Kenya kuna watu mafilauni wa waziwazi.
Yani mtu anakutumia meseji, “Et we ni mzuri, uko wapi?” Yani anakutongoza kama vile mtoto wa kike.
Miongoni mwa watu...
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.