Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.
Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani...
Bara la Ulaya hivi karibuni limekumbwa na mawimbi ya joto kali. Inakadiriwa kuwa halijoto ya juu imesababisha vifo vya takriban watu 15,000, wengi wao wakiwa wazee wanaoishi katika nyumba zisizo na viyoyozi.
Takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2025, mauzo ya viyoyozi vya China barani Ulaya...
Shule nchini Uingereza zinapewa onyo la kuondoa picha za wanafunzi wao kutoka kwenye tovuti na mitandao ya kijamii kufuatia kuongezeka kwa tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail). Wataalamu wa usalama wa mtoto na Shirika la Kitaifa la Uhalifu (NCA) wanaonya kuwa wahalifu wanatumia Akili...
Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda?
Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂
Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
Mama Samia anaunda tume kila siku za kitapeli ambazo wanataka kutumika kusingizia matatizo ya vurugu wapinzani. Wameishiwa mbinu sasa tume zenyewe za mchongo kazi yake ni kuja na mapendekezo ya tume nyingine ni woga wanatoa mapendekezo ya kuundwa tume nyingine. Hii ni mbinu ya woga wa kusema...
Serikali ya Ghana imetangaza kuwahamisha raia wake 300 kutoka Afrika Kusini, kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni nchini humo katika wiki za hivi karibuni.
Katika ujumbe aliochapisha kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mambo ya Nje, Samuel Okudzeto Ablakwa, alisema Rais John...
DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma.
Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi.
Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu.
Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
Jana Aprili 21, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Taa za Barabarani zilizopo Sakina Triple A / Arusha Technical College hazifanyi kazi kwa zaidi ya miezi minne hali inayoongeza hatari ya usalama wa watumiaji”.
Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Taa za Barabarani za Sakina Triple A ni zaidi ya miezi...
Mimi nipo Swedeni ila kuna jamaa Mtanzania mwenzangu alichukua uraia wa Usa anasema kwa hotuba iliyotolewa jana na Samia.
Kunawezekana kuibuka maandamano makubwa Marekani. Bei ya mafuta kumbe imekuwa kubwa sana kuliko wakati wowote ule toka Dunia iwepo. Na hawakuwa wakijua mpaka Samia...
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
Russia kimya kimya anatengeneza mtonyo wa maana kwenye kipindi hiki mgogoro kati ya Us/Iran umechachamaa.
Kremlin inaingiza angalau kiasi cha dola za kimarekani 150 kila siku kutokana na mauzo ya mafuta na gesi na kugeuza mgogoro huu wa mashariki ya kati kama sehemu ya kupatia faida maradufu.
Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
ardhini
bila
imara
iran
irani
israel
kidini
kubadili
kutoka
kutokana
kuweka
marekani
marekani na israel
mfumo
mfumo wa utawala
ndani
sharia
utawala
vikosi
Wakuu,
Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama.
Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW
Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
Polisi hamuaminiki.
Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS.
Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.