MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu.
Amesema...
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema.
Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE
1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania
2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia,
3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia
4. Joyce Banda- Malawi
KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa...
1: PLAY BOY
2: MTU WA SYSTEM
3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL)
4: MPENDA BATA
5: DADA WA MJINI
6: KAUKA NIKUVAE
7: NGUMI NJE NJE
8: PESA MAKARATASI
9: MZEE/MAMAA WA CHAI
10: CONFUSED
Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea.
Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje.
Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa.
Naomba ujumbe...
Anonymous
Thread
changamoto
kutokana
makini
mradi
msingi
serikali
shule
shule ya msingi
uongozi
zaidi ya
Dar es Salaam,
Akihojiwa juzi katika kipindi cha The Interview kinachorushwa na kituo cha East Africa Radio, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege, ameendelea kusisitiza kwamba Chadema bado wapo sahihi mpaka sasa na kwamba matokeo yoyote watakayopata upinzani katika...
Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine .
Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia yake na kumzoea
CCM hii sijui viongozi wake wana upeo wa aina gani!
1.Mtu kama Harbinder Seth unamuwalikaje achangie kampeni ukijua record yake ni chafu? Akili gani ilitumika hapa?
2. Unawezaje kukubali kuchangiwa na club ya soka ambayo sio tu ina mashabiki wasio wana CCM, bali unahatarijsha club yenyewe kwa...
Nakumbuka msiba wa baba wa Taifa ndiyo ulikuwa msiba wa kwanza kuleta huzuni kwa Taifa la Tanzania,msiba wa pili ni wa Rais wetu kipendwa Magufuri,naamini pazia la huzuni ya kweli lilifungwa kwa wale wanaojiita waheshimiwa,kama hawatabadilika basi wasubirie zomeazomea kutoka kwa watanzania na...
ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya 1990. Miji ya kwanza kujengwa rapit transit ilikua kule amerika ya kusini Curitiba Brazil na Bogota...
Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi.
Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita.
Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
Kwanza.
Huyu polepole hakusema anaongeA na kina nani!?
Press yeyote lazima uwatambue watu wanaokusikiliza au hata kama hawapo(hewa) wataje. Kama alivyofanya Gwajima.
Pili.
Kwani nani kamtuma. Walimu Wa nchi tuna ushahidi halisi. Vile maslahi yetu yamebadilika. Vyuo.. mikopo ya Elimu ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.