kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Salman Rushdie ni nani? Mwandishi aliyeibuka kutoka mafichoni (satanic verses)

    Modes naomba msiunganishe thread yangu na mtu yeyote Kwa miongo mitano aliyojihusisha na fasihi, Sir Salman Rushdie si mgeni na vitisho vya kuaawa anavyokabiliwa navyo kutokana na kazi yake. Mwandishi huyu wa riwaya ni mmoja kati ya waandishi wa Uingereza wanao pigiwa upatu na aliye na...
  2. Taasisi za haki za binadamu ziangalie vimaneno dhidi ya mchezaji mzungu kutoka Simba, Tanzania haijawahi kuwa na ubaguzi wa rangi

    Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake. Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na wadau wote wa michezo ....waende nalo kwa tahadhari, na ikibidi, watakaoendelea, Tume ya haki za...
  3. Hali ya Utulivu yarejea Sierra Leone, Marufuku ya kutoka nje yaondolewa

    Maisha ya kawaida yanaripotiwa kurejea katika Mji wa Freetown baada ya maandamano ya wiki iliyopita ya kupinga gharama kubwa ya maisha na ukiukwaji uliokithiri wa haki za binadamu Mashuhuda wamesema Polisi waliwatawanya waandamanaji kwa risasi za moto huku takriban raia 20 na maafisa wa polisi...
  4. B

    DarMpya Online Tv yawa Zamampya Tv

    Kwa wale wafuatiliaji wa mambo, siku kadhaa zilizopita chaneli ya DAR MPYA ilipata misukosuko kidgo na TCRA baada ya kuchapisha maudhui yaliyoonesha baadhi ya watu "waliodaiwa" kupangwa ili kufanya propaganda kuhusiana na suala zima la Ngorongoro. Pamoja na misukosuko hiyo, mapema mwezi wa...
  5. Naomba kujuzwa jumla ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania

    Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?.. Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu.. Nigeria .. Ghana Ivory coast Senegal Kenya. Zimbabwe Zambia . Rwanda Burundi... Mali.. Anaeweza jua kila hizi nchi zina wachezaji wangapi...
  6. Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

    Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
  7. Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  8. TFF yakanusha kuhusika kwenye kualika watu kwenye mkutano wa CAF

    Taarifa ya Tff kuhusina na yanga kutokualikwa Pia soma https://www.jamiiforums.com/threads/kama-yanga-haikualikwa-basi-ni-kweli-tff-ina-chuki-mgogoro-dhidi-ya-yanga.2009540/unread
  9. S

    Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  10. Kenya2022 Polisi Wakamata Malori Mawili yakidaiwa Kusafirisha Wapiga Kura Kutoka Uganda

    Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
  11. Somo la leo kutoka maandiko ya kitabu cha kitaa ule ukurasa

    Habari wote JF members, Nimeona nifungue uzi kutoka uzi mmoja na huu ujitegemee. Saivi watu wanaishi kwa bajeti kali no shopping kizembe zembe Tsh.10000 ndio buku 2000 ya 2015. Uhalisia uko hivo jero ishakuwa mia 200 afu malipo ya kazi ni yale yale. Daah walio ajiriwa kwa mishahara midogo daah...
  12. Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  13. Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

    Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku. Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa. MY TAKE...
  14. Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

    Marekani kashikwa pabaya. Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea Getty ImagesCopyright: Getty Images Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
  15. Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

    kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
  16. Kamati ya sera ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha nchini na mwenendo wa ukuaji wa uchumi Tanzania

    Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi. Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
  17. Kutoka Selecao mpaka La Albiceleste – yafahamu majina ya maarufu ya timu 32 zitakazocheza Kombe la Dunia 2022

    Na Godian Method Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa muda wa mwezi mmoja, tukishuhudia mataifa bora 32 yakichuana vikali katika jitihada za kuhakikisha...
  18. Ni Aibu Afrika Nzima Kutegemea 40% ya Ngano Kutoka Ukraine

    Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake. Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi. Mpaka sasa...
  19. ICS watangaza nafasi za kazi mbalimbali

    We are looking for competent, skilled, and experienced talent to work on the EACOP (East African Crude Oil Pipeline) construction project in Uganda. Suitable candidates are encouraged to apply for the following positions;
  20. natafuta mhasibu kutoka inland container depot(ICD)

    Habari ndugu zangu,naomba nipate kuunganishwa na mhasibu wa bandari kavu (inland container depot)kwa kifupi ICD,nina hitaji msaada wa mawazo na uzoefu,mm nimesoma uhasibu ngazi ya bachelor degree,namba yangu 0712705389 nipo dsm,nitashukuru sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…