kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kusafirisha parcel kutoka Marekani

    Salaam wakuu. Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania, kwa kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena. Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

    Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza. Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha. Baada ya muda nilizoea...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake msituumize kihisia kwa kutoka nje ya ndoa ili kulipiza kisasi

    Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa. Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata nyinyi mnavyoumia pindi tukigundua kwamba mnatoka nje ya ndoa. Kwanini tunaumia? Tunaumia kwasababu...
  6. JamiiForums Tanzania R-Square wasanii chipukizi kutoka Bagamoyo Tanzania

  7. JamiiForums Tanzania Polisi wapandisha bei za stika kutoka Tsh. 3,000 hadi Tsh. 7,000, ongezeko la zaidi ya 133%

    Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000. Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000

    Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1. Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango

    Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango
  10. JamiiForums Tanzania Argentina yaanza mchakato kuvidai tena visiwa vya Falklands kutoka Uiengereza

    Waziri wa mambo ya nje wa Argentina Santiago Cafiero amesema tayari ameshamjulisha mwenzake wa Uiengereza James Cleverly nia ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa mashirikiano uliosainiwa mwaka 2016. Wakati wa utawala wa Margret Thatcher nchi hizo mbili ziliwahi kupigana mwaka 1982 kuhusiana...
  11. JamiiForums Tanzania Nicki Minaj aanzisha Record Label yake, amsaini msanii kutoka Ghana

    Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp. Amesema Lable hiyo itakuwa chini ya #RepublicRecords na tayari amewasaini wasanii chipukizi ambao ni London Hill, Tate Kobang...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni ya Mbunge Neema Lugangira kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika, CAADPBR

    Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika; Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa ya kuwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika CAADPBR kwa Tanzania...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  14. JamiiForums Tanzania Majadiliano Juu ya Mahusiano: Jifunze Kutoka Kwa Wengine

    Mada hii inahusu majadiliano kuhusu mahusiano na jinsi ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tunaweza kuzungumzia mambo kama vile jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako, jinsi ya kutatua migogoro na jinsi ya kudumisha mapenzi yako. Kila mtu ana uzoefu tofauti katika mahusiano, na kwa kushirikisha uzoefu...
  15. JamiiForums Tanzania Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

    Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini...... Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
  16. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania kupata mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 353.3 kutoka IMF ili kusaidia Uchumi

    Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji. Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
  18. JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Gerezani - Mbagala kukamilika Aprili 2023

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema awamu ya pili ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi tatu, utakamilika Aprili. Mradi huo unahusisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 20.3. Pia ujenzi wa vituo 27 vya mabasi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka wa hatari kwa startups za Bongo zilizopata funds kutoka kwa VCs wa nje

    Startup kadhaa za Bongo katika miaka ya karibuni zilianzishwa kwa kupata funding kutoka kampuni za Venture Capital (VC) Marekani, kabla ya mfumuko wa bei (inflation) iliyotokea hivi karibuni interest rate ya banki Marekani ilikuwa karibia 0% hii ilikuwa na effect mbili, kwanza kukopa ilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wote mnaomtukana, kumdharau na kutomtaka Kibu Denis akirejea kutoka Kampala mkamuombe Radhi

    Katika uzi wangu wa leo ambao pia nilijaribu kupanga vikosi vyangu viwili tofauti ambavyo niliona vingetupa matokeo na mwishoni, nilisisitiza mno kuwa mechi ya leo kwa uchezaji wa kutumia nguvu nyingi walionao waganda ingemfaa sana na angeisaidia Simba SC kimchezo. Huhitaji kupoteza muda au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…