kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Scania, Heavy equipment na Landrover kutoka UK

    Nina anzisha huu maalumu kwa mtu yoyote anayetafuta vitu kutoka UK. Hasa magari makubwa(HGVs), heavy equipment, agricultural equipment na magari madogo kama Range Rover, for a reasonable price but good condition. Nina heshimu siri za mteja(customer confidentiality) Contact: WhatsApp +44...
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Goba kwa Mama Chacha. 1.2km kutoka Goba Centre

    Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache. Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na umeme vipo nje ya nyumba, Huhitaji nguzo, kunafikika vizuri kabisa. Neighbourhood ni nzuri, usafiri...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba heka 18 zilizopimwa kando kando ya ziwa viktoria kuelekea Nyanguge km 8 kutoka barabarani linauzwa

    Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa hotel,apartment,mifugo,kilimo nk.
  6. JamiiForums Tanzania Biashara ya “Second hand Phones” kutoka Dubai / Europe

    Habari wakuu, Najaribu kutafuta biashara salama ya kufanya ambayo itanipa Mzunguko Mzuri. Nimefikiria kuhusu biashara ya used simu kutoka Dubai / Europe , changamoto ni sina experience na sijui naanzia Wapi . Nahitaji Msaada kujua soko likoje na upatikanaji wa bidhaa zake ! Au kama kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  8. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

    Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali. NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie...... ume
  9. JamiiForums Tanzania Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

    Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
  10. JamiiForums Tanzania Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

    Thread was deleted
  13. JamiiForums Tanzania Mimba Kutoka: Hivi ndivyo utakavyofanya Kupata mtoto Salama

    MIMBA KUTOKA; HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA KUPATA MTOTO SALAMA. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi Binti yangu endapo utakutwa na mkosi wa Aina Hii, naamn ndio Tatizo la mimba kutoka basi Mimi Baba yako sikukusahau katika hili. Tena Kijana wangu ikiwa Mkeo utakayemuoa, unayempenda, atakuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
  16. JamiiForums Tanzania Tujenge utamaduni wa kupendeza (kujipenda), kutoka out na kula vizuri

    Heri ya Pasaka. Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out. Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal. Jamaa kafika asee alikuwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Heri ya Pasaka? Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU. Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima? JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI? 1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi. 2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk? 3. Mbona ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nitajie viongozi wawili tu shupavu kutoka Pwani nami nikutajie viongozi 10 shupavu na wenye uwezo mkubwa kutoka mikoa ya bala

    Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege! Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…