kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asante Kocha Nabi kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia kama tukifungwa au kutoka Sare na Marumo Gallants FC leo kwa Mkapa

    "Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu mapema kabla hawajatuadhibu" Kocha Mkuu wa Yanga SC Nabi. Na GENTAMYCINE sijawahi kuona Kocha Nabi...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo 5 ambayo wanaume mnaweza kujifunza kutoka kwa wanawake.

    Wanaume mnaweza kujifunza kutoka kwetu wanawake. Tuna mengi ya kuwashirikisha mjifunze kutoka kwetu wanawake, kwa leo nitawapa mambo matano tu... 1. Wape kipaumbele watu wako Wanaume wengi ni wabinafsi kwa asili na ni wachoyo wenye roho mbaya. Bali wanawake wengi huweka maslahi ya familia...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli tata kutoka Kwa Katibu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi

    Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi. Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Muziki Nchini: Maoni ya Wadau juu ya nini kifanyike ili kuongeza Tija, Mvuto na Kupunguza Malalamiko

    Mnamo Aprili 29 kuamkia April 30 mwaka 2023 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wakishirikiana na Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo waliandaa tuzo rasmi kwa ajili ya kuwapongeza wanamuziki wa Tanzania (Tanzania Music Awards). Baadhi ya walifanikiwa kunyakua tuzo hizo kwenye vipengele...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Atakaekiri 2025 awe kutoka CCM au Upinzani kutenda kama Hayati Magufuli atajihakikishia ushindi kwenye udiwani na Ubunge lakini kwenye Urais ni Samia

    Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani. Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu: Jambo la kwanza, Mwaka 2025 Rais ni Samia na ushindi wake utaonekana 2024 kuelekea 2025 na kuna mambo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Camilla kutoka kuwa ‘mchepuko’ hadi Malkia wa Uingereza

    Historia inaonyesha mke wa sasa wa Mfalme Charles III wa Uingereza ambaye pia ni Malkia wa nchi hiyo, Camilla Rosemary Shand alikuwa kwenye mahusiano ya siri ya kimapenzi na mfalme huyo kwa kipindi cha miaka 15 huku wote wakiwa katika ndoa zao. Historia ya mahusiano ya Mfalme Charles na Malkia...
  7. JamiiForums Tanzania Mwisho wa kutoka kwa updates za version za Window 10

    Hatimaye Microsoft wamesema windows10 22H2 ndiyo version ya mwisho. Kuanzia Sasa akutakua na Tena na muendelezo wa window 10. Latest version ya 𝗪𝗶𝗻𝗱𝗼𝘄𝟭𝟬 ndiyo itakua ya mwisho akuna Tena window 10 nyingine itakayotoka au kupata feature mpya ambazo zinakuja na window ndani yake. October 2022...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Green card lottery yameshaanza kutoka server imejam haifunguki

    Matokeo ya DV lottery green card yameanza kutoka usiku huu. Website ya kuangalia matokeo imeelemewa haifunguki. Watu wawe tu wavumilivu hadi kesho.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha

    Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya Tanzania na Ufaransa yaongezeka kutoka Tsh. Billioni 27.8 hadi Tsh. Bilioni 94.5

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax akihutubia mkutano wa pili wa majadiliano ya kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa Jijini Dar es Salaam Ukuaji wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha shilingi billioni...
  12. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo... Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume kutoka kenya kuja Tanzania

    Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
  14. JamiiForums Tanzania Tupeane Experience, kutoka kimapenzi na jirani mliekutana nyumba za kupanga

    Habari wakuu, Wanasema uliza kwa wenye uzoefu wakusomeshe mchezo.... Nawatonya wazee wa totoz dar night hamna kitu msikae kutega kitaa, Ita Uber, Ita bolt maana Mboga zote ni kitambaa. Okay, Lets go... Nataka watu ambao katika harakati za kupambana na changamoto za maisha basi katika zile...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji na kuitumia kufanya manunuzi ya nje na kulipa madeni?

    Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
  16. JamiiForums Tanzania LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…