Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja wa Mataifa, hadi kusimama kama taifa lisilofungamana na upande, Tanzania iliweka alama yake...