Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,481
- 104,148
Mchina mjanja, anaangalia kitu mnachokipenda, hafu analeta alternative kwa bei nafuu.
Recently BYD wamezindua Denza B5 SUV ambayo ukiiangalia tu unajua ametarget market gani.
Hii ni Luxury 4WD SUV yenye 1.5L turbo hybrid engine, na electric motors mbili na battery la 31 kWh ambalo utaweza kutembea 100 km kwa EV mode.
Kwa bei ya $76,000 itapambana na Ford Everest au Prado ambao wana dimension sawa kabisa.