kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu na viongozi wa kiislamu wakutana Saudi Arabia na kutoka na tamko moja la kuitaka Israel isitishe vita

    Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu za TPLB kusogeza mbele Mechi ya Simba na Azam kutoka Novemba 28, 2023 hadi Jan 1, 2024 hazijaniingia akilini

    Ila kwa wenye Akili Kubwa duniani (GENTAMYCINE na baadhi) tunajua kuwa Usimba ndani ya TFF (TPLB ikiwemo ndani yake) umechangia na kilichofanyika hapa ni Kuikoa Simba SC na Kipigo Kitakatifu kingine kutoka kwa Azam FC. Hali ambayo inaweza kuzidisha Mgogoro Klabuni, Amani kutoweka ila Kubwa ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kontena la maiti za wanajeshi wa Israel kutoka Gaza

    Wakati vita ya Israel dhidi ya kikundi cha HAMAS ikiendelea kwa Israel kupiga mabomu watoto na wanawake,tazama sehemu ya maiti za wanajeshi wa Israel ambao wameuawa na HAMAS. Wana mgambo wa HAMAS wapo Gaza wakiendelea kupambana na wanajeshi wanaotumia deraya.
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Maambukizi mapya ya VVU yamepungua kutoka 7% hadi 4.3%

    Imeelezwa kuwa kasi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI imepungua kutoka Asilimia 7% Mwaka 2003 hadi kufikia Asilimia 4.3% Mwaka 2022. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, akimuwakilisha Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akiongoza ujumbe wa wageni...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Eti aliyeingiza jezi feki kutoka China analindwa na mtu kutoka juu?

    Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti. Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
  7. JamiiForums Tanzania Sikiliza piano kali sana kutoka Ipinda, Kyela

  8. JamiiForums Tanzania Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

    "when you are in rome, do what romans do" Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Salamu za upendo zimetolewa kwa wananchi kutoka kwa Magufuli badala ya Rais Samia!

    Nyuki wa mama mpo? Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu. Mioyo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

    INTRODUCTON: Shalom!! Nawakaribisha tena Mbinguni, Mbinguni ndiko tulikokuwako milele kabla ya Mungu kutuleta duniani kupitia pumzi ya uhai Kwa baba na mama zetu wa duniani. Mbinguni ni wapi? Hapa tunapoishi ni Mbingu ya kwanza, Mbinguni tunapoongelea Leo ni Mbingu ya tatu. Ukiigawa katika...
  12. JamiiForums Tanzania Kamanda Muroto kutoka RPC mpaka Security Project Manager, Tembo Nickel

    Life linamambo mengi. Huyu Afande Muroto alikuwa RPC wa Dodoma at Magu time now karudi kuwa Project Security Manager- Tembo Nickel.💪🏼
  13. JamiiForums Tanzania Usiwasahau ndugu kisa una marafiki, tujifunze kuwapa nafasi wote

    Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1. Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
  14. JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imeishiwa na wapiganaji. Hata silaha walizopokea kutoka US hakuna wa kuzitumia

    Tanguj vita vianze baina ya Ukraine na Urusi kumekuwepo na lawama kutoka Ukraine kuwa kutofanikiwa kwa zoezi la kurudisha mapigo ya Urusi kikamilifu ni kutokana na kutopatiwa silaha muhimu walizokuwa wakiziomba. Hali sasa imebadilika ambapo afisa mmoja na mshauri wa karibu wa raisi Zelensky wa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa 14 kutoka Ethiopia ashinda Tuzo: Sabuni ya Kinga Ya Saratani ya Ngozi

    Mwanafunzi wa miaka 14 mwenye asili ya Ethiopia anayeishi USA, ameshinda tuzo na kuwagaragaza wana sayansi wengi wa vyuo vikuu nchini Marekani kwa kuvumbua sabuni yenye gharam ya senti 0.50 inayoweza kuzuia ugonjwa wa saratani ya ngozi...
  16. JamiiForums Tanzania Pre Season 2024/2025 Simba inaweza kuileta klabu kubwa ya soka kutoka EPL

    Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba. Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha aliyefukuzwa kazi Ghana akiri kupokea Rushwa ya Tsh. Milioni 99.9 kutoka kwa mwekezaji

    A now-sacked Ghanaian government minister has admitted that he accepted a cash gift of $40,000 (£33,000) "in order not to offend the sensibility of a potential wealthy investor", according to an official report into the incident. Charles Adu Boahen was dismissed as a minister last November...
  18. JamiiForums Tanzania Wasanii 8 Kutoka Bongo Waliozaliwa Kuanzia Mwaka 2000 Kwenda Juu

    Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao 1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003 Label : Rockstar Africa 2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002 Label : The African Princess 3. Bruce Africa - March, 2000 Label : I AM Music 4. Cherry - July, 2000 Label : Bxtra Records 5. Anjella...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

    Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana. Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold...
  20. JamiiForums Tanzania Nionyeshe picha kama hii kutoka msimbazi niwaonyeshe mbuzi anayetaga

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…