kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Takwimu rasmi kuanzia mwaka 1965 waumini milioni 18,555,581 wamejitoa kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato, je Nini chanzo?

    Wadau hamjamboni nyote? Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024 Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581 Niwatakie sabato njema Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimelala na wanawake 73 kutoka mwaka 2017 mpaka 2024

    Habari wana MMU, Poleni na majukumu ya kila siku, Ipo hivi mimi ni kijana 24 yrs old. Nimelala nimefanya mapenzi na wanawake wengi sana niliowazidi umri, walionizidi umri, agemates. Sikuishia hapo nimekula wake za watu pia mke wa braza nilimla kipindi niko form six. Ila nilichogundua kila...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka US: Kidogo nivunje kiuno kwa mchezo huu wa vijana

    Habari zeni wa-TAMISEMI, Katika harakati zangu huku kwa Biden nikakutana na vijana wanacheza mchezo wa hiki kidude. Nikaona mtu mweusi hashindwi kitu. Nikaomba na mimi niwaoneshe jinsi wabantu tunafanya. Hawakuwa na hiyana, wakanipa hicho kidude, nikataka kufanya hizo flips kama wao. Ya kwanza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu baada ya kutumia 5G smartbox kutoka Airtel

    Wakuu habari za wakati huu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Kwa dunia ya sasa internet imekuwa ni moja kati ya basic needs kama ilivyo chakula, mavazi na malazi. Lakini changamoto kubwa hasa kwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu huduma ya internet inaonekana kama ni anasa. Kwanza ni unreliable...
  6. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Vitabu Kutoka Makumbusho ya Maji Maji Songea

    MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji, Songea. Akiwa Songea kanirushia picha nyingi alizopiga hapo Makumbusho. Allah amjaze kheri.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu juu ya safari ya train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaam

    Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada please.
  8. JamiiForums Tanzania Uzoefu Wangu na Mafunzo Niliyojifunza Kutoka Israeli

    Nikiwa mwanafunzi wa shahada ya juu katika chuo flani cha kilimo hapa nchini, nilipata nafasi ya pekee ya kuhudhuria kozi fupi (short course) usawa wa siku 14 ivi nchini Israeli. Katika safari hii, niliona kwa macho yangu jinsi wenzetu wanavyoendesha mambo, na nilijifunza masomo muhimu...
  9. JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Msamaha wa kutoshtakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume cha sheria walioanza kusalimisha silaha kuanzia Sept 1 - Okt 31

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia. Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Iran imedhamiria, waziri wake atua Beirut kibabe

    Hii ni pamoja na makombora anayo vurumisha Israel: Murua kabisa kuwa, haogopwi mtu!
  12. JamiiForums Tanzania Unabii: Nimeona Simba kutoka mbinguni akishambuliwa na nyoka watatu kutoka baharin mpaka kufa

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Juzi tarehe 1 mwezi wa 10 majira ya usiku nilimuona simba mmoja wa wasitan akishuka kutoka maeneo ya angan Kisha nikaona tena nyoka watatu nao ni wa wastan wenye ukubwa kias unene wa mipini miwili wakipanda kutoka baharin Simba alipokaribia kutua chini...
  13. JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Update update kutoka America percel. Nimepigiwa simu eti mzigo upo mwalimu nyerere airport. Kutoka kalifonia.

    Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu...
  16. JamiiForums Tanzania Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

    Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante. Your package contains 26000/USD money 4 coverage cameras 2HP computer set 6toshiba laptops 5 iPads 5 Iphone 25 samsung tabs...
  17. JamiiForums Tanzania Jitu la miraba 12 kutoka Burkina Faso lavunja rekodi ya dunia kubeba chuma kilo 231

    Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024. Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi ya dunia wakati wa mashindano ya Dunia ya kuinua Magogo 2024 (WLLC)yaliyofanyika Birmingham...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni lipi Basi zuri la VIP la kwenza Mwanza kutoka Dodoma

    Naomba kujuzwa basi zuri la VIP la kutoka Dodoma hadi Mwanza lisilo na mwendo mkali. Ni mara ya kwanza kuelekea jiji la Mwanza.
  19. JamiiForums Tanzania TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  20. JamiiForums Tanzania Fahamu chakula cha Escamoles kutoka Mexico.

    Ni majira ya saa tano Bibi Isabella Martinez miaka 60 anaingia jioni kuandaa chakula kwa ajili ya familia, pembeni anasaidiwa na Mjukuu wake wa kike wa miaka 20, Maria. Bibi Isabella Martinez akiwa anatafuta kuni ili apate kuwasha moto basi Mjukuu yeye anaandaa viungo vitakavyokwenda kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…