kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya kupeana updates za vibali vya uhamisho kutoka Utumishi

    Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Drivers Wapewa Pigo as County Proposes Parking Fee Hike kutoka KSh300 hadi KSh535

    Madereva wa Nairobi wanaweza kulipa zaidi kwa ajili ya maegesho ya magari baada ya Nairobi City County kupendekeza kuongeza ada ya kila siku ya parking kutoka KSh300 hadi angalau KSh535 chini ya sera mpya ya ushuru na bei. Kaunti imesema ada za sasa hazitoshi kugharamia matengenezo ya barabara...
  3. JamiiForums Tanzania Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  4. JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

    Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu. 1. Adui wa maendeleo ya Tanzania siyo mabeberu mbali ni watanzania wenzetu waliojificha kwenye tawi la Chama cha Mapinduzi linaloitwa CCM mtandao. CCM hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa NSSF hawatusaidii waajiliwa wa private sectors kupata stahiki zetu kutoka Kwa waajili wetu

    Hii changamoto ya wafanyakazi wa NSSF haswa wakaguzi wanaopewa majukumu ya kwenda kukagua katika taasisi mbalimbali kutotimiza majukumu Yao vizuri. Nimekumbwa na changamoto hii baada ya kupeleka malalamiko yangu katika Moja ya ofisi za NSSF zilizopo hapa Dar es salaam kwamba Kwa kipindi kirefu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO OTP kutoka HESLB inasubiriwa kwa Saa 72 kabla ya kuomba nyingine, kama haijafika kwa mdhamini

    Kipengele Cha Mdhamini kwenye mfumo wa kufanya application kwa mikopo wanafunzi wa Vyuo. Kuna utaratbu wa kutumiwa OTP kwa namba ya simu ya mdhamini kisha ijazwe kwenye mfumo wa maombi ya mkopo. OTP haifiki kwa kwa mdhamini na wanaonkupa MASAA 72 Ili kuomba OTP nyingne. Hii inakwamisha zoezi...
  8. JamiiForums Tanzania Wamatumbi: Amkeni Kutoka Matrix!

    Enyi wamatumbi acheni kuwa kama nguruwe. Acheni kuruka ruka kama nyani mkichekana nyuma zenu. Acheni kupoteza potential zenu mkifanya jambo lile lile kwa miaka 50. Hamkuumbiwa kufanya kazi kama mashine. Hamkuumbiwa dharau na u fukara wa kupewa matusi na dhihaka kutoka kwa binadamu wenzenu...
  9. JamiiForums Tanzania Je inawezekana mwalimu mwenye Degree kuhama kutoka halmashauri(shuleni) kwenda NECTA, TIE, NACTVET etc....?

    Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
  10. JamiiForums Tanzania Je Selikali Itafyata mkia kwa masharti kutoka kwa Jumuia ya Madola (Commonwealth)?

    4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum) Kutoka Jumuia ya madola Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania: Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi mnakaa siku kadhaa maji hayatoki yakija kutoka ni maji yenye chumvi ndani yake na imeshakuwa mazoea sasa

    M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na salama Kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni ugidaji wa maji hayo tena bila ya kuyachemsha hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Nawaambia wadada kuwa njia pekee ya kumtunza bwana ako, kumfurahisha na kumzuia kutoka nje ni kuwa malaya kitandani.

    Kuwa class nje Kuwa mrs mtaani Ila unapokuja kitandani weka pembeni mambo ya kuwa descent YAaani tingisha makebo zaidi ya wale wadada kwenye porno, lia kama mtoto, ikalia huku ukilala, igeukia kwa nyuma huku ukigeuka ukimwangalia machoni mwake. Nakuambia hivi, mme wako atakuwa anarudi...
  13. JamiiForums Tanzania Wadada na style ya kujiuza na kujisponsa haiwezi kuisha kama mama zao wapo tayari kupokea pesa kutoka kwa wanao wanazopata kwa kujiuza na kwa masponsa

    Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa aanzie wapi kuwakemea watoto na tabia zao za umalaya maana kuchakatwa kwa jagina zao zimemsaidia hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Wakili Peter Kibatala

    One of my greatest pride as a Lawyer is representing Wanaharakati in Courts. Jesus was a Mwanaharakati [albeit wa ukombozi wetu], John the Baptist was a Mwanaharakati, Paul the Apostle was such a Mwanaharakati that He traversed all lands of the Gentiles, St. Peter was one of the greatest...
  15. JamiiForums Tanzania Chadema njaa tayari, wanagombea maokoto; wanadai ruzuku ya 500m kutoka serikali wasiyoitambua

    Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui. Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nawezaje kukopa kupitia Mtandao wa Simu?

    Habari wakuu, msaada wa mawazo kuhusu jambo linalo nisibu, Mimi nimeajiliwa sehemu, Nimekaa kwa muda kias, Boss wangu, katika Makubaliano, ni kufanya kaz, huku nikihesabu mshahara wangu Hatimae mshahara umefikia 3 million sasa naona kuna namna anataka kuni dhurumu, Maaana naona tu miendo...
  17. JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Viongozi wa CHASO waliokamatwa Mbeya, hakuna mwanafamilia, Viongozi wa Chama walioruhusiwa kuwaona

    Anaandika Hilda Newron Chadema huko Facebook ‼️HABARI MBAYA KUTOKA MBEYA‼️ Julai 4, 2026 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya liliwakamata Viongozi wa CHASO watatu wa Mkoa wa Mbeya kila mmoja alikamatiwa Chuoni kwake. Tangu siku hiyo mpaka leo hakuna mwanafamilia, Viongozi wa Chama wala Mawakili...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi Adai Gen Z Wamekusanya Signatures 430,000 za Referendum Kupunguza Counties Kutoka 47 Hadi 8

    Stand-up comedian na human rights activist Eric Omondi amesema kampeni yake inayoongozwa na Gen Z tayari imekusanya zaidi ya signatures 430,000 zinazounga mkono referendum ya kubadilisha Katiba ili kupunguza idadi ya counties kutoka 47 hadi 8 za zamani. Akizungumza kwenye mahojiano na vyombo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…