papag
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 1,354
- 2,038
VICHAKA VYA MASHOGA IFAKARA NI HIVI.
Kwenye kikao tulichokaa jana mjini Ifakara timu ya kupambana na vitendo vya kishoga na mashoga tumebaini maeneo wanayoyatumia mashoga kuficha movements zao za ushoga.
1. Saluni. Kuna saluni za kusapoti ushoga na nyinginezo za kusapoti usagaji.
Mashoga wamekuwa wakitumia saluni kama miamvuli ya kujifichia, na saluni hizo zinafahamika mjini Ifakara.
2. Kwenye Baa. Zipo baa maarufu za mashoga.
Ifakara mashoga hawaendi kwenye baa ambazo hazina mazingira rafiki kwao. Wana baa zao spesho.
KWANINI MASHOGA WANA JEURI IFAKARA?
Kwa maoni ya wajumbe wa kikao ambao wengineo ni viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa taasisi mbalimbali wamebainisha;
a) Kuna wafanyabiashara maarufu wanawasapoti.
Shughuli zao nyingi wanawapatia fedha. Mfano mdogo angalia shughuli iliyozuiliwa hivi karibuni mjini Ifakara ni wafanyabiashara wangapi walichukua kadi na wengineo hadi kwenye kamati walikuwepo?
b) Kuna watu wapo serikalini wanawasapoti.
Mtumishi wa serikali kutwa kijiwe chake ofisi ya shoga. Wanatengeneza hadi WhatsApp group la michango ya shughuli ya shoga na mtumishi wa serikali anapewa na u-admin kabisa!
KIPI KIFANYIKE KUKABILIANA NA HILI JANGA?
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania vitendo vya kishoga na mashoga ni kosa kisheria, tumeshahuriana tuunde taasisi ambayo itakuwa inatambulika kisheria kudeal na mapambano zidi ya vitendo vya kishoga na mashoga kwenye huu ukanda wetu(kuanzia Kidatu, Mang'ula, Ifakara, Mngeta, Mlimba, Lupiro, Mahenge, Mtimbira, hadi Malinyi.)
NB: Mashoga wana mtandao mkubwa na wana ufadhili wa fedha. Kudeal nao sio shughuli ndogo. Wazazi na walezi tusiziachie mamlaka pekee kupambana na hili janga kwani waathirika ni watoto zetu, wadogo zetu, ndugu na jamaa zetu.
Haiwezekani Ifakara tuongoze kwa 'Hallow hallow' kitaifa, Ifakara tunaongoza kwenye takwimu ya UKIMWI kimkoa, Ifakara tujekuwa na sifa mbaya nyingine ya USHOGA!
[Wille Kawandakamu]