kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada: Utaratibu wa kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi

    Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
  2. Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    Habari, Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea vizuri au kula Sijawahi kutumia dawa yoyote na hutokea wakati wowote, msaada kwa anayejua tatizo hili.
  3. S

    Kwa nini naona Watanzania Bara tumenufaika sana na Muungano zaidi sana wa Wazanzibar - wametuokoa mara mbili kutoka shimo lenye giza nene!

    Mimi ni Mtanzania bara. Nimetafakari sana juu ya kile watu wa Tanzania bara wanaita kero za Muunganom au kupendelewa kwa Wazanzibar katika muungano. Utaona kwamba ni mambo madogodogo sana, vitu kama fedha za misaada sijui, Wazanzibar kuwekeza bara na kununua ardhi tofauti na watu wa bara...
  4. Hawa wachawi / walozi waliorejea nchini kutoka sauzi iwe mwiko kushirikishwa shughuli za misikitini na makanisani

  5. C

    Plot4Sale Viwanja Bunju km 1 kutoka barabarani & nyumba kwa mnada

    Karibu MUDU COMPANY LTD tunauza Nyumba na viwanja maeneo mabalimbali dar kwa mnada.#contact 07676055856.mfano tuna huu Uwanja upo BUNJU B BEI 30M 1529 Square meter
  6. Laweza neno jema kutoka Nazarethi

    ANDIKO LA MSINGI: Yohana 1:43-46. Biblia inasema hivi “43. Siku ya pili yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. 44. Naye Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mwenyeji wa mji wa Andrea na Petro. 45. Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye...
  7. T

    Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

    Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama. Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team...
  8. Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  9. Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  10. Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

    .
  11. Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
  12. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  13. Mizengo Pinda: Mwalimu alikataa kuwa 'dictated' na watu kutoka nje kwa sababu ya misaada

    Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne, Mizengo Pinda akiwa kwenye kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa baba wa Taifa, hayati Mwl. Nyerere ameongelea misaada na masharti yanayokuja nayo. Pinda amesema mwalimu alikataa katakata misaada yenye masharti yasioendana na Maslahi ya Taifa. ======== Mizengo...
  14. L

    Kutoka Xinjiang hadi Ningxia, jinsi ninavyoona uhuru wa kuabudu dini nchini China

    Kadiri siku zinavyosonga mbele, uhuru wa watu kuabudu dini nchini China unazidi kuwa mkubwa. Na hii inatokana na sera nzuri za China katika masuala ya dini, kwani katiba ya China katika kifungu chake cha 36 inaeleza waziwazi kuwa “wananchi wana uhuru wa kuamini dini watakazo”. Serikali ya China...
  15. Jifunzeni kutoka kwangu

    Mimi sio mwandishi mzuri tuvumiliane lakini natumaini tutaelewana tu wakuu, ngoja niwape story kidogo ya yaliyonikuta na yanayoendelea kunikuta katika maisha . Huyu mwanamke mwaka jana kategeshea nimepata mshahara na ilitakiwa tulipe kodi ya nyumba kasepa na hela yote pamoja na kila kitu ndani...
  16. Miongozo dhaifu imeathiri udahili wa wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma Vyuo Vikuu vya Tanzania

    Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania. Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
  17. Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

    Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi. Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia. Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi...
  18. J

    Salaam kutoka Ngara kwa Waziri wa Nishati

    Ndugu waziri nakuletea salaam zangu kutoka nakatunga wilaya ya Ngara, ambazo kwa hakika zimebeba mtazamo wa wilaya yote. Ndugu waziri, wanaomkumbuka Kalemani hadharani na moyoni sio kwamba wachuki na wewe, bali wanaangalia utendaji wako ukilinganisha na kalemani. Hapa Rusumo kuna mradi wa...
  19. Prof. Kitila Mkumbo: Serikali za Mtaa hazishauri Serikali Kuu badala yake zinapokea maelekezo kutoka Serikali Kuu

    Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya serikali badala ya kuwa sehemu ya mafanikio ya serikali. Mbunge ameyasema hayo bungeni ambapo...
  20. Japan yapanga kupunguza uagizaji wa Makaa ya mawe kutoka Urusi

    Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda Koichi Hagiuda aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba Japan italenga baada ya muda kukomesha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi, muuzaji wa pili kwa ukubwa wa nchi hiyo wa makaa ya joto mwaka wa 2021. Hagiuda alisema kupata wasambazaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…