kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Sheria hairuhusu kutoa Nywila yako hata kwa mpenzi wako

    Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

    Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani. Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi. Kwa usiku wa jana binafsi...
  3. JamiiForums Tanzania Abortion / kutoa mimba: Je, ni sahihi au si sahihi?

    LllHii ni moja ya mijadala mikubwa duniani. Wapo wanaosema ni haki ya mwanamke kuchagua, na wapo wanaosema ni kuondoa uhai wa asiye na uwezo wa kujitetea. Kabla ya kutoa hukumu, ni vizuri kusikiliza hoja zote. WANAOSEMA NI SAHIHI, HUSEMA: 1. Mwili ni wake, maamuzi ni yake Wanadai hakuna mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu fanyeni mchakato wa kutoa Honoris Causa kwa waandishi wa vitabu vya kitaaluma

    Dar es Salaam – Katika kumbi za mihadhara za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kote nchini, majina kama Angela Anselim Kiseku na Astrid Mushemba yanang’aa kama alama ya ubora wa elimu ya juu nchini Tanzania. Hawa ni wahitimu waliobeba tuzo za kimataifa katika uhandisi wa mafuta na jiolojia...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuendelea kutoa ufafanuzi ni kutukana ufahamu wetu wananchi

    Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi. Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini wakati ripoti yote unayo wewe mwenyewe? Unafafanua nini katika jambo ambalo kila kitu unacho wewe...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  7. JamiiForums Tanzania Elfu 5 ni hela kubwa sana kwa maisha ya Mtanzania. Kwanini Bank zinaidharau, na kima cha chini kutoa ATM kiwe Elfu 10?

    Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week. Sio fair kabisa
  8. JamiiForums Tanzania Meno Yaliyotoboka au kuoza Yanatibika …Usipange Kutoa jino / Meno Yako!

    Habari , Iwapo meno yako yametoboka na unashindwa kutafuna chakula na Kujiamini mbele za watu basi Unaweza pata suluhisho la Kudumu kwa kupata huduma ya kuziba na Kutibia mzizi wa jino bila Kutoa jino lako -Huduma hii itakusaidia kuweza kuwa na meno imara -Utatafuna chakula vizuri -Utalinda...
  9. JamiiForums Tanzania Onyo: Napiga marufuku kwa member yeyote yule kutoa like kwenye post au comment yangu yoyote

    Katika hili naomba niwataje kabisa Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS..
  10. JamiiForums Tanzania Ndio maana watu huwa hawapendi kutoa lift

    Unatoa lift kiroho safi ila mtu/watu wakishuka inabidi upitie car wash. Michanga hadi kwenye viti. Hali ni mbaya zaidi mvua ikinyesha. Uzi tayari
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza Nshala: Tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Lissu, zitatolewa na Uongozi mkuu, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa sheria

    Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
  12. JamiiForums Tanzania Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇪🇸...
  13. JamiiForums Tanzania Netanyahu asema Israel ipo tayari kwa vita muda wowote dhidi ya Iran

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi watakaposambaratishwa. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa tangazo la kusitishwa vita vya Israel...
  14. JamiiForums Tanzania Familia yangu imenitenga kisa ninataka kuoa single mom

    Habari zenu wakuu! Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani. Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea...
  15. JamiiForums Tanzania Tulia kashaanza kutoa mlio tumsamehe au tumwache aisome namba?

    Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae. Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
  16. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

    Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati wengine wakitupa watoto ama kutoa mimba.. Kuna wanaoiba watoto ili nao waitwe mama

    Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mwana Mfalme MBS amuambia Trump aendelee kutoa Kipondo kwa Magaidi wa IRGC

    Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameripotiwa kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, kuendelea kuongeza shinikizo dhidi ya Iran, akieleza kuwa mgogoro huo ni “fursa ya kihistoria” ya kubadilisha nguvu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kudhoofisha utawala wa Iran...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

    Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…