kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇪🇸...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema Israel ipo tayari kwa vita muda wowote dhidi ya Iran

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi watakaposambaratishwa. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa tangazo la kusitishwa vita vya Israel...
  3. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Familia yangu imenitenga kisa ninataka kuoa single mom

    Habari zenu wakuu! Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani. Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tulia kashaanza kutoa mlio tumsamehe au tumwache aisome namba?

    Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae. Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

    Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wakati wengine wakitupa watoto ama kutoa mimba.. Kuna wanaoiba watoto ili nao waitwe mama

    Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mwana Mfalme MBS amuambia Trump aendelee kutoa Kipondo kwa Magaidi wa IRGC

    Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameripotiwa kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, kuendelea kuongeza shinikizo dhidi ya Iran, akieleza kuwa mgogoro huo ni “fursa ya kihistoria” ya kubadilisha nguvu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kudhoofisha utawala wa Iran...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
  9. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

    Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na...
  10. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Lile dimbwi la pale Police Mbande limefukiwa, tunashukuru kwa wahusika

    Hoja ya awali ~ Barabara ya Mbande - Kisewe Stendi eneo la Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linasababisha usumbufu
  12. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Gharib Mzinga apunguze kutoa historia kwenye mechi, atangaze mechi bhana

    Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana. “ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu” “Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wairani wengi wameendelea kujitokeza barabarani wakishangilia na kutoa shukrani kwa Trump na Netanyahu

    "Donald Trump, THANK YOU!" "Benjamin Netanyahu, THANK YOU!" Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutoa mimba

    Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Serikali itatoa Shilingi Bilioni 8.1 kukarabati miundombinu Serengeti

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    1. Arusha - Ni mkoa wenye historia kubwa ya kutoa shule nyingi zinazoongoza kitaifa, watalii wengi wakifika Tanzania wamezoea kutoa misaada mingi Arusha ikiwemo ya kielimu, pia kuna shule nyingi International ambazo wanafunzi huenda kusoma vyuo vikubwa vya ulaya na Marekani. 2. Kilimanjaro -...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE Dar kinachelewesha sana kutoa vyeti kwa Wahitimu wao

    Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka mwezi wa tatu, kabla ya hapo waliambiwa mpaka Februari 2026. Chuo amegraduate 02/12/2025, vyuo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mirabel ahukumiwe kwenda jela kwa kutoa ushahidi wa uongo kwenye madai yake ya ubakaji

    Mwaka 2026 umeendelea kuonyesha namna mitandao ya kijamii ilivyo na nguvu katika kuunda mijadala ya kisheria na kijamii barani Afrika. Kisa cha TikToker mmoja kutoka Nigeria kwa jina la Mirabel aliyedai kuwa mwanaume mmoja alimvamia na kisha kumbaka, huku akionesha kuwa amedharirishwa kama...
Back
Top Bottom