Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo.
“Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida.
Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana.
Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais?
Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa
Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
Mradi wa maji Butimba wafikia asilimia 94, kuongeza upatikanaji wa maji kutoka lita 90 hadi 138.
Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Sh69 Bilioni unaojengwa eneo la Butimba jijini Mwanza umefikia asilimia 94 na utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15 mwaka huu.
Waziri wa Maji, Jumaa...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha amesema kanisa litaendelea kukemea yale yote ambayo yapo kinyume.
Katika kufanya hivyo, kanisa lisihesabike kuwa linachanganya dini na siasa bali Serikali...
Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au Akiachwa kama ambavyo unapanga na Kushinikiza utanisamehe mno kwani nitaenda Kufunguka mengi yanayokuhusu...
Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile?
Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza?
Mfumo wa serikali upo vipi?
Prof Chachage S Chachage ni kati ya watu waliokuwa mstari wa mbele kwenye kutetea uhuru wa kuongea, kupata taarifa na kuhabarishwa. Suala hili liko wazi kwenye kazi zake ikiwemo Makuadi wa Soko Huria na kazi nyinginezo ambazo ameonesha uhitaji wake wa kuwa na uhuru wa kutoa na kupata taarifa...
Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention!
Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya!
Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW.
Kazi kwenu...
Habarini nyote,
Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu.
Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic.
Hadi wabunge makini...
Wanajukwaa heri nyingi ziwafikie. Dhumuni la kuja kwenu leo, ni kujaribu kushare nanyi kuhusu inshu ya serikali yetu kushindwa kutoa mikopo ya tractor kwa wajasilia mali wakulima wenye kumiliki mashamba kwanzia heka 10 na kuendelea.
Natumai hili swala ni zuri sana kama wenye kulifanya hili...
Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja.
Kwa...
Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata.
Agosti 22...
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia.
Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza hili kwa sababu aliona halina kitu chochote cha maana kinalofanya isipokuwa tu kugeuka na kuwa...
Wasimamizi wa sheria za ndoa wanachangia sana ongezeko la uharifu dhidi ya binadam!
Kesi nyingi za talaka zikifika mahakaman zinapigwa danadana sana kiasi cha kuchukua muda mrefu huko mahakaman jambo linalochangia madhara kwa wanandoa wenyewe!
Athari kubwa inamkumba sana mwanamke ambaye yupo...
Habari wadau.
Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank.
Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. .
Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike.
Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto...