kutisha

Kutisha (Russian: Кутиша) is a rural locality (a selo) in Levashinsky District, Republic of Dagestan, Russia. The population was 1,922 as of 2010. There are 22 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

    Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same! Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa. Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

    UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amvaa Nape amwambia aache kutisha watu. Kuuza bandari isiwe sababu ya kutisha watu

    Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Hayati Magufuli ufisadi ulikuwa wa kutisha ila bahati yake tu alizima Vyombo vya Habari kumulika Ufisadi huo

    Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm. Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Rayvanny Anazidi Kutisha Na Nyimbo Yake Mpya inayoitwa Mtamu

    Raymond Shaban Mwakyusa, anayetambulika kwa jina la kisanii Rayvanny , ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na msanii wa kurekodi mahiri kutoka Tanzania. Akiwa msanii, amepata mafanikio na kutambulika chini ya lebo maarufu ya WCB Wasafi. Hivi majuzi, Rayvanny alitoa video ya muziki ya kuvutia ya...
  6. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

    Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na serikali ya Kanada na mashirika ya kidini (Kikatoliki). Watoto hao walichukuliwa kutoka kwa familia zao...
  7. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

    Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa

    Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es Salaam? Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjua mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile. Updates: Well, kinachoendelea sasa ni kuiua Gymkhana kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mbinu inayotumika ni tozo ya kutumia facility kwa...
  9. MHP

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Force Account inawamaliza mabosi wa Serikali, Waziri Mkuu anashuhudia madudu ya kutisha

    Siye wajuvi wa masuala ya ujenzi tulionya na kuonya, tukaambiwa tunatetea ulaji wetu. Kuna wawakilishi wetu tuliwatuma hadi Bungeni kupinga Force Accout , lakini walibezwa kuwa makandarasi ni mafisadi wa fedhe za umma. Sasa kazi nyingi zilifanywa kwa spidi kubwa kwa kumtumia fundi Maiko. Madudu...
  11. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Picha zikiwaonyesha Wazamiaji wakidandia meli kwa kukaa kwenye kizimba cha majembe ya kusozea meli kwa muda wa siku 11

    Watu watatu wamekutwa wamekaa juu ya kizimba cha majembe ya kusozea meli Mlinzi wa pwani ya Uhispania amewaokoa watu watatu waliopatikana wakiwa wamejiegesha juu ya ukingo wa majembe ya kusozea meli iliyowasili katika visiwa vya Canary kutoka Nigeria. Wanigeria Watatu Wapatikana Wakiwa...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aminini nawaambia kisasi cha wana CCM kitakuwa cha kutisha!

    Hao watu (wana CCM) wanachukiana mno na siku ikitimu ya wao kulipana visasi amini nawaambia kwacho kitakuwa kisasi cha kutisha! CCM hawapendani hatari na sababu hasa ni maslahi yao binafsi na siyo maslahi ya Watanzania ABADANI! Letu la mno tuombe siku hiyo iwadie haraka ili mpango wa Mungu...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

    Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania. Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba). Hii ni syndicate. Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
  14. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
  15. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mpina aanika bungeni madudu ya kutisha Ripoti ya CAG

    Mbunge wa jimbo la Kisesa wilayani Meatu - mkoa wa Simiyu aanika bungeni madudu Ripoti ya CAG. ===Fungua kiambatanisho.
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akopa zaidi ya Tsh bilioni 900 kutoka Abu Dhabi

    Hivi hizi pesa zinapelekwa wapi kama hali ya maji na umeme ni tabu ndani ya nchi hii?! NB: Akumbukwe Ndugai.
  17. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya maeneo yaliyowahi kuogopeka Dar kwa uhalifu, uhuni na tabia za kishenzi

    1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k. 2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji, uporaji lakini pia ushenzi. 3. Mwananyamala kisiwani kwa kopa. 4. Mburahati madoto hadi festini...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Maandamano nchini Ufaransa kupinga upandaji wa gharama za maisha

    Ulaya inaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga Urusi kuwekewa vikwazo hasa sekta ya nishati. -- Tens of thousands of people have protested in Paris against the high cost of living and for a more decisive fight against climate change. But is it the beginning of a wider movement against...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iran: Televisheni ya taifa yadukuliwa wakati wa taarifa ya habari

    Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi karibuni. Wadukuaji wanajiita Adalat Ali au Watetezi wa Ali wakihusishwa na waandamanaji wanaopinga...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

    Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani. Basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya Mhindi ipo chini...
Back
Top Bottom