Nahitaji ushauri wenu ili niweze kutimiza ndoto zangu

John kirua

Member
Dec 7, 2021
88
37
Poleni na majukumu ndg zangu. Naitaji ushauri wenu ili niweze kutimiza dream yangu.

Mimi na rudia mtihania wa kidato cha nne, pia ni mwajiriwa najisomesha mwenyewe, nimepatwa na changamoto ambayo ina pelekea mwezi huu ni siweze kuudhuria vipindi vya shule na kufanya solving mbali mbali.

Je, nitumie njia gani ya kusoma kipindi ichi sipo shule mwezi 1 ili nikirudi mwezi ujao shule nitakuwa vizuri.
 
Kama unarudia ww unae uzoefu kuwa unapitia vitabu na past paper

Punguza na tungi
 
Back
Top Bottom