kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

    Natangaza maslahi yangu! Mimi sio mganga na sifanyi ushirikina tena! Kati ya waganga wote wa kienyeji ni asililia kumi hivi kati ya mia moja ndio wakweli na kati ya hao wakweli ni asilimia 5 tu ndio wenye masharti nafuu na wanaoweza kukusaidia moja kwa moja..! Ishu ya kuwajua feki na wakweli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

    Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
  3. JamiiForums Tanzania Acha kutafuta ajira

    Habari za wakati huu, Miaka zaidi kadhaa iliyopita nilihitimu masomo yangu ya sekondari.Baada ya kuhitimu nilirudi nyumbani na tukakutana marafiki kadhaa ambao wote tulikuwa tumehitimu tukisubiri matokeo.Katika kipindi hicho nakumbuka siku moja katika majadiliano ya hapa na pale tuliulizana...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tuwasaidie Waziri Simbachawene na polisi kutafuta haki

    Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mitoto unaihangaikia peke yako ikifika ukubwani inaenda kutafuta ukoo wao...

    Hii kauli nimeisikia jana akilalama mama mmoja katika mazungumzo na wenzie kibarazani. Anadai ametunza mtoto peke yake kwa mahangaiko makubwa, kamsomesha kwa tabu kwa pesa za kuokoteza kwenye vigenge, upatu na misaada ya kaka zake. Lakini ameshangaa sana mtoto alipomaliza chuo na kuanza kupata...
  6. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
  7. JamiiForums Tanzania Tuyaishi maisha sio kutafuta maisha

    Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie. Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa Pesa Ni kama maji hata uchote vipi mwisho wa siku utayamwaga tu yarudi baharini
  8. JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  9. JamiiForums Tanzania Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

    Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa! Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa. Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi? Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema: A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

    Hello guys mambo vipi poleni na majukumu. Kwa majina Naitwa Omary naishi Nairobi ila elimu yangu ya Msingi mpaka Chuo nimepata Tanzania. Naamini hii ni platform kubwa sanaa ambayo imejaa watu wa kila aina hivyo basi nategemea once nitakavyo leta swala langu kwa ajiri ya ushauli ni furaha yangu...
  11. JamiiForums Tanzania DC Mwenda awahakikishia Wanairamba kutafuta suluhu ya migogoro ya mipaka

    MHE MWENDA AWAHAKIKISHIA WANA-IRAMBA KUTAFUTA SULUHU YA MIGOGORO YA MIPAKA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amewahakikishia wananchi wa kata ya Ntwike kuwa Serikali wilayani humo inaendelea kutafuta Suluhu ya mgogoro wa mpaka kati ya wilaya za kishapu, Igunga...
  12. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndio sababu 5 za kutafuta ushauri wa kibiashara

    1. Kukosa kujiamini au kutojiamini. Mara nyingi usipotambua mapema kuwa ndani yako ni mfanyabiashara. Huwa anakua na wasiwasi wa kuanzisha biashara yeyote. Lakini kuna njia nyingi za kupitia kabla haujaanza biashara. Na pale unapokua hauna wazo la kibiashara ni lazima upitie njia izo ili upate...
  13. L

    JamiiForums Tanzania True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Habarini za leo wanaJF Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
  14. JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

    Habari wadau. Ebu tupeane ushauri ni aina gari ya gari ambayo nikiwa nayo nitavimba hapa mjini?
  15. JamiiForums Tanzania Karibuni Dar es Salaam wageni mnaokuja kutafuta maisha na kufanya biashara

    Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda. Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu. Ukitaka ma...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wa ajabu hadi wanasahau kutumia akili; unamkamata Mbowe kuwa anapanga kuua viongozi, halafu ndio unaenda nyumbani kwake kutafuta ushahidi?

    Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever" Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
  17. JamiiForums Tanzania Ukikosa kazi kwa muda mrefu, jaribu kutafuta kazi za Mauzo (Sales)

    Ninatambua kwamba watu wengi wanafuta ajira usiku na mchana bila mafanikio. Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba, njia iliyokuwa bora ya kujihakikishia ajira sio kutafuta ajira. Bali ni kutafuta tatizo au matatizo unayoweza kuyatatua. Jaribu zoezi hili; mwezi huu tembelea Ofisi kadhaa popote...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  19. JamiiForums Tanzania Hii sio fursa ni janja ya Mbowe kutafuta pesa. Yaani tumekuwa mawakala wa kusajili kadi za CHADEMA? Tuko hoi bin taabani

    "Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja unapata shilingi mia tano." Mhe. John Pambalu
  20. JamiiForums Tanzania Malkia wa Sheba (Queen of Sheba) ni nani?

    Naskia wakimtaja sana huyu malkia wa sheba kama mwanamke flani amaizingi sana na mtaalamu sana wa mapenzi. Pia aliwahi kumtembelea mfalme Solomoni baada ya malkia kusikia habari za hekima za mfalme Solomoni. Inafahamika malkia alizaa mtoto wa kiume aliemuita Menelik na huyu alikuja kuwa mfalme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…